Nini kinakukera na kukukwaza kutoka miongoni mwa wanachama wa JF?

Nini kinakukera na kukukwaza kutoka miongoni mwa wanachama wa JF?

Ndio huko huko kuchat sana kila uzi mnapoteza flow bana, huku chit chat ndio kwenyewe muwe mnakuja huku mchatiiii hadi mtoke jasho....ila majukwaa mengine inakua kero
Kumbe hapa ndio chit chat! sijawahi kuyajua majukwaa ya JF aisee,
Hua nikiingia JF naingia ''Trending'' nasoma mada na kucomment bila hata kujua nipo jukwaa gani!
 
Unaandika historia ya kweli ya maisha yako mpaka unalia na.machozi ukitumia maneno hata 500 au buku kabisa halafu jinga moja linajibu kwa neno moja tu "Chai" au "ngoja waje wakupe muongozo" huyo wa "ngoja waje" anajulikana
 
Unaandika historia ya kweli ya maisha yako mpaka unalia na.machozi ukitumia maneno hata 500 au buku kabisa halafu jinga moja linajibu kwa neno moja tu "Chai" au "ngoja waje wakupe muongozo"
Ttsaaaaaahhh:pedroP: :pedroP: :pedroP: :pedroP:
 
Back
Top Bottom