Ms R
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 8,853
- 19,587
anhaa,sema umechelewa kuboeka na kutoa dukuduku tushaacha kitambo 😂😂we mwenyewe shahidiNdio huko huko kuchat sana kila uzi mnapoteza flow bana, huku chit chat ndio kwenyewe muwe mnakuja huku mchatiiii hadi mtoke jasho....ila majukwaa mengine inakua kero