Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Njoo pmSina privilege za kuishi mule kwa sababu yenu🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo pmSina privilege za kuishi mule kwa sababu yenu🤣🤣🤣
kobsa madamMna mioyo myepesi kama ya karatasi Ndiomana mnakereka haraka !
Lol means mdogo wako siooooo ukiongea kitu sometimes kinakua kweli
God forbid!
Humu ishi wewe kama wewe tu umemaliza huwezi kumridhisha Kila mtu!
Cc Smart911
Maswali ya namna hii ndiyo hunikera..Kitu gani hukufanya ujiskie kero au ujiskie vibaya ukiwa humu jukwaani, achilia mbali maoni na mitazamo tofauti na yako kutoka kwa miongoni mwa wana JF 🐒
Team chawa wanasifu bila kuweka mbadala was nini kifanyike Ili kuboresha changamoto!!Kitu gani hukufanya ujiskie kero au ujiskie vibaya ukiwa humu jukwaani, achilia mbali maoni na mitazamo tofauti na yako kutoka kwa miongoni mwa wana JF 🐒
Leo umeamka na hangover Nini?Mtu anayeweza kunikera ni yule ninayempenda, wengine naona wananipigia gitaa nilale
KwaniniLeo umeamka na hangover Nini?
Mawazo ya chawa/kichawa hasa wasiotambua sisi kama taifa tunakosea wapi na nani wanaochangia kuendelea kwa umaskini,ujinga na marathon miongoni mwetu kama taifa🤔Kitu gani hukufanya ujiskie kero au ujiskie vibaya ukiwa humu jukwaani, achilia mbali maoni na mitazamo tofauti na yako kutoka kwa miongoni mwa wana JF 🐒
Mtu kumwaga dislike kwenye kila post ya mtu mwingine..!!Kitu gani hukufanya ujiskie kero au ujiskie vibaya ukiwa humu jukwaani, achilia mbali maoni na mitazamo tofauti na yako kutoka kwa miongoni mwa wana JF 🐒
Majibu yako leo bintKwanini
Siku hazifanani mkuuMajibu yako leo bint
Naona leo imeamka na chai.Siku hazifanani mkuu
Na anayeweza kukupigia gitaa kiasi cha wewe kulala, ni kwamba unampendaMtu anayeweza kunikera ni yule ninayempenda, wengine naona wananipigia gitaa nilale
Utakua Sawa tu rafiki,uwe na wakati mwema.Siku hazifanani mkuu
Muda hauokolewi, bali unatumiwa..!! unaweza ukanionyesha angalau wiki uliyoiokoa?Basi comments ziwe fupfupi ili tuokoe muda wakuu...😊
Mimi sio mkorofi! Mjinga mpe cheo ukilijua hili utaepuka ugomvi usio wa lazima