Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
- Thread starter
- #21
Sawa mwambaSawa tufanye itachukua miaka 15, au hata 20!
Lakini usikatae ndio investment inayowafaa zaidi watumishi.
Naona una'oversimplify' mambo.. Hizo tenda zinapatikana kirahisi hivyo?
Ukweli ni huu : kama ni muajiriwa inakuwia ngumu mno kufanya biashara zinazotaka muda na ambazo ni very risky. The safe investment na ya muda mrefu kwa waajiriwa inabaki kuwa real estate!
Sent using Jamii Forums mobile app