Nini kinakuogopesha kufungua au kufanya biashara?

Nini kinakuogopesha kufungua au kufanya biashara?

Sawa tufanye itachukua miaka 15, au hata 20!
Lakini usikatae ndio investment inayowafaa zaidi watumishi.
Naona una'oversimplify' mambo.. Hizo tenda zinapatikana kirahisi hivyo?

Ukweli ni huu : kama ni muajiriwa inakuwia ngumu mno kufanya biashara zinazotaka muda na ambazo ni very risky. The safe investment na ya muda mrefu kwa waajiriwa inabaki kuwa real estate!

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mwamba
 
Tatizo kubwa ni majambazi wa TRA na pia ni UPORAJI wa pesa za wafanya biashara uliokuwa unafanyika nchini tangu 2015. Hivyo ni bora watu wafunge biashara zao au kuhamia nchi za jirani kufanya biashara.

Watu wengi wanatamani kufanya biashara wengine wana mitaji kabisa sababu unakuta yeye ni mtumishi hela sio swala la kuuliza ila when it comes to starting a business anajikuta anasita sita au kupatwa na uoga na jakamoyo!


Ijapokuwa kujiajiri na biashara ndio kitu ambacho kinaaminika kuleta utajiri katika maisha ya raia. Ni kipi kinakufanya au kilikufanya uogope kufungua biashara?
 
Changamoto ni kupata watu sahihi ambao ndio wazalishaji au watendaji (technical skill) hasa kwenye biashara ya teknolojia. Kwenye hizi biashara zingine changamoto kubwa ni masoko
 
Tuwekane wazi tu unavyoanza biashara unahitaji kuwa na moyo wa chuma yaani uvumilivu wa hali ya juu kupitiliza,akili na muda wako lazima viwe kwenye biashara pia jiandae kupoteza pesa nyingi sana ndio maana wengi wanashauri usiweke pesa yote kwenye biashara sababu ili kupata faida hiyo biashara uliyoanzisha itahitaji marekebisha mengi sana na shida kuna vitu vingi kuvijua kwenye biashara mpaka uingie ndio utavigundua na pesa itahitajika kuweka sawa ila jinsi muda unavyokwenda mambo yanafunguka na biashara inakuwa nyepesi na faida unaiona hata kama ni kidogo.
 
Real Estate sio biashara ya mtu anaelipwa laki 8 Gross mjomba! Ni biashara ya watu walio stabilize kiuchumi likely billionaires!

Tuelezane ukweli tu la sivyo utawalisha sana watoto matembele bila sababu! Sisi wavivu wa kufikiria jinsi ya kuextend vyanzo vya mapato ndio tunaokimbilia less risky businesses kama kujenga tunyumba twa kupanga kwa mikopo ya kuunga unga ambako payback period ni miaka ya mtoto kuzaliwa mpaka kumaliza form 4!

Unakopa 100M unajenga nyumba mbili za kukupa laki 6 kila mwezi! Mwenzako hela hio hio ananunulia mtambo wa kufanyia kazi za printing na kutengeneza mabango. Akichukua tender kadhaa za makampuni yanayojielewa ndani ya miez 6 hela imerudi! Wewe kila mwaka ndio upate 7.2M mpaka ifike 100M ni lini?

Unajenga nyumba kwa kuacha maskio wakati mwenzio anapandisha floor 10 hewani huku ananunua apartments zingine Mikocheni na hayumbi!
Mimi naona bora hiyo nyumba uigeuze guest tu kidoogo upepo unasoma vizuri
 
Back
Top Bottom