Nini kinakuvutia zaidi katika simu janja(smartphones) kutoka kampuni ya Samsung?

Kaka acha kabisa kuna mwandiko unaitwa "Rosemary" [emoji91][emoji91][emoji91] ingawa mimi natumia "Gothic"
 
Simu yangu SAMSUNG A22...yaani sijui nianzia wapi ila nitaorodhesha mchache

1.Secure Forder hii huwa binafsi naiita MY POCKET yaani documents zangu mbalimbali za App yoyote ambazo sihitaji nikimpa mtu azione huwa nazipeleka kule foa a minute.

2.Kuna hii Navigation Panel..hii imeka kinyama sana hapo nakutana na Compas direction yangu hta nikiwa porini lazima nipate uelekeo pili Calenda inakaa hapo na Mazaga yote..

3.kuna kitu inaitwa Color Pallette hapo sasa simu inaenda kwenye ulimwengu mwengine kabisa tofauti na hizo Simu zenu za kichina uana set unavyotaka mqenyewe.

4.Side Key [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

5.Samsung Music na Video hasa upangiliaji wa Playlist na Pop up view

6.SAMSUNG NOTES..ukija kwenye hii huwe zitumia hiz app nyengine za Google sijui One note au Google Keep notes..Samsung Notes inavitu vingi sana kama wewe ni mtu wa kuandika na kuhifadhi kumbukumbu kwanzia kwenye Colors zake fonts n.k

7.Super Amoled display yake ikiwa na 120hz na 60hz hapo ni options yako tu...ndani ya settings zake unaweza set kuwa Natural ama Vivid...

8.Option za Battery..hapa kwenye hii Samsung yangu kuna limit ya 85% inajaa na unaweza iacha normal kuwa 100..kisha kwenye power saving option zipo mbili ya kawaida na ya kulimi App (Maximum power saving) ukiweka hii simu ikiwa imebaki na 50% inakwambia itakaa siku 7 mbele na inakaa kweli[emoji119] kwa tunaozungua Porrin hii ndio mkombozi..ikiwa na Type C charge 15W

9.Kikubwa engine naipenda hii simu nilinunua sababu ya Display yake ndogo sana 6.4..[emoji91][emoji91](wengine hatupendi displays za 6.6 kama simu hizo za Chinese .

10.Last napenda Samsung coz kila karibu miezi miwili lazima wakuletee Security updates na One UI updates kwa kila msimu.

SIWEZI HAMA Samsung devices labda ku upgrades [emoji16][emoji16]
 
Vizuri sana.... Lakini rudia hiyo point namba 3 na 9 na uielezee naona umeshambulia simu za Kichina
Kuna jambo nataka tuliweke sawa, hebu elezea kwa undani naona dharau zimezidi sasa
 
huu ni uwongo mkuu
Au u shamba, smart unlock ina features nyingi na android nyingi wameweka.

Hio smart unlock inaditect kulingana na ulivyoiset, mfano unaweza set simu ikiwa mfukoni ukiwq unatembea inakiwa opened au ukiiweka mezani inakuwa opened vilevile kama unawasha data na umeset GPS ikidetect upo eneo salama kama nyumbani inakuwa opened.

Yaani mimi situmii hizo simu zao wanazopigia debe lakini huo mfumo upo.
 
Simu yangu SAMSUNG A22...yaani sijui nianzia wapi ila nitaorodhesha mchache

1.Secure Forder hii huwa binafsi naiita MY POCKET yaani documents zangu mbalimbali za App yoyote ambazo sihitaji nikimpa mtu azione huwa nazipeleka kule foa a minute.

2.Kuna hii Navigation Panel..hii imeka kinyama sana hapo nakutana na Compas direction yangu hta nikiwa porini lazima nipate uelekeo pili Calenda inakaa hapo na Mazaga yote..

3.kuna kitu inaitwa Color Pallette hapo sasa simu inaenda kwenye ulimwengu mwengine kabisa tofauti na hizo Simu zenu za kichina uana set unavyotaka mqenyewe.

4.Side Key [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

5.Samsung Music na Video hasa upangiliaji wa Playlist na Pop up view

6.SAMSUNG NOTES..ukija kwenye hii huwe zitumia hiz app nyengine za Google sijui One note au Google Keep notes..Samsung Notes inavitu vingi sana kama wewe ni mtu wa kuandika na kuhifadhi kumbukumbu kwanzia kwenye Colors zake fonts n.k

7.Super Amoled display yake ikiwa na 120hz na 60hz hapo ni options yako tu...ndani ya settings zake unaweza set kuwa Natural ama Vivid...

8.Option za Battery..hapa kwenye hii Samsung yangu kuna limit ya 85% inajaa na unaweza iacha normal kuwa 100..kisha kwenye power saving option zipo mbili ya kawaida na ya kulimi App (Maximum power saving) ukiweka hii simu ikiwa imebaki na 50% inakwambia itakaa siku 7 mbele na inakaa kweli[emoji119] kwa tunaozungua Porrin hii ndio mkombozi..ikiwa na Type C charge 15W

9.Kikubwa engine naipenda hii simu nilinunua sababu ya Display yake ndogo sana 6.4..[emoji91][emoji91](wengine hatupendi displays za 6.6 kama simu hizo za Chinese .

10.Last napenda Samsung coz kila karibu miezi miwili lazima wakuletee Security updates na One UI updates kwa kila msimu.

SIWEZI HAMA Samsung devices labda ku upgrades [emoji16][emoji16]
Halafu kitu kingine Xiaomi 13 ina only 6.36inches na ni simu ya China. Pia kuna simu nyingi zina 6.5 inch displays ambapo tofauti yake ukilinganisha na display yako ni only 0.1inches

Hapo nimeongelea point yako namba 9. Sasa hebu tuelezee hiyo point namba 3 maana naona umetaja jina la hiyo feature hata hujaielezea ukakimbilia kuponda simu za China.
 
Samsung ndo simu bora kati ya nilizotumia toka nimeanza kutumia simu. Ila nimenunua vivo siipendi but ina feature ya kufungua account zaidi ya moja. So sina haja ya kufuta sms za mchepuko, nikifika tu home inajiingiza kwenye account ingine ambayo ina kila kitu chake anzia phone book inbox whatsap sijui nini kila kitu unainstall upya hivo sms zikiingi zinaingia account ile ingine
 
Halafu kitu kingine Xiaomi 13 ina only 6.36inches na ni simu ya China. Pia kuna simu nyingi zina 6.5 inch displays ambapo tofauti yake ukilinganisha na display yako ni only 0.1inches

Hapo nimeongelea point yako namba 9. Sasa hebu tuelezee hiyo point namba 3 maana naona umetaja jina la hiyo feature hata hujaielezea ukakimbilia kuponda simu za China.
Ninachomaanisha point namba 3 ni hii
SmartSelect_20230226_201352_One%20UI%20Home.jpg
 
Ninachomaanisha point namba 3 ni hii View attachment 2530891
Hiyo ni theme mzee. Tena kwenye hilo suala Mchina ndio fani yake. Hiyo theme niliona kwenye review ya simu ya Xiaomi kwa mara ya kwanza. Tena ukitoa hiyo Xiaomi ana themes nyingine nyingi sana, nadhani kuliko brand yoyote ile ya simu na kila software update wanaongeza themes mpya. Kwenye simu zao wanayo hadi theme store yaani humo ni store ya kudownload themes tu za staili tofauti tofauti hadi uchoke wewe
Next time nitakuonesha hiyo theme kwenye Xiaomi,
Xiaomi ni Mchina na yeye ndio gwiji, mkongwe na expert kwenye hayo mambo
 
Sawa mkuu bas sikujua
 
Mkuu nitajie simu ya toleo la A ambayo ina hizo future zote tajwa hapo juu maana mimi pia ni mhanga nataka tumia toleo la Samsung lakini ambayo naweza imudu kwa gharama Toleo la A. , S na Note changamoto chaji na bei kama hio mote 9 na s10 ziko poa sio mbaya betri4000 kwa 4500 mah nitajie hizo toleo za A zenye hizo future mkuu nilikuwa nasherehesha kwanza [emoji23][emoji23]
"Future"
 
Back
Top Bottom