Nini kinamkwamisha Harmonize kufikia malengo anayoyatamani?

Nini kinamkwamisha Harmonize kufikia malengo anayoyatamani?

Slowly

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
10,589
Reaction score
35,268
Harmonize amekuwa akitamani kutawala soko la mziki Tanzania , amejitahdi Sana Kwa Kias chake ,media kubwa zinampigia chapuo , Baadh ya accont maarufu za wambea Instagram pia zipo nyuma yake. Na kuna watangazaji pia ambao richa ya kuonekana kama wehu eg mwijaku ,lakn hawajali ni kama wamejitoa kafara kumsupport kijana.

Hata hvyo nguvu aliyowekeza kijana inaonekana kuleta matokeo madogo, hapa najaribu kulinganisha ukubwa wa uwekezaji aliyoufanya na output inayotoka zaidi ya miaka miwili sasa , mda mzuri kabisa Kwa matazamio.

Harmonize Hana tuzo yyte kubwa na ya maana , sioni record ya Harmonize popote pale Kwenye mashindano yyte Yale akitoboa , badala yake Harmonize kabebwa na Diamond, kijana wa Tandale ndo mtu pekee aliyeiona thamani yake , mda huo wadau wote wa Mziki walimuona hawezi.

Harmonize amekuwa akimtuhumu Diamond kama mtu ambaye ememfanyia hiyana Sana kwenye career yake ya mziki. Yeye mwenyewe na wapambe wake wamekuwa wakitumia nguvu nyingi Sana kumtukana na kumkashifu kijana wa Tandale , kelele ni nyingi na zenye ushawishi hata hvyo performance ya Harmonize ukilinganisha na kelele hzo ni ndogo Sana kwenye uwanja wa Mziki.

YouTube imekuwa ndo kipimo cha kukubalika Kwa msanii , msanii yyte akitoa wimbo, wimbo huo ukikimbiza YouTube basi msanii anavimba , na Hiyo strategy hata Harmonize mwenyewe anaitumia, wimbo wa Attitude ulipotoka makelele yalikuwa mengi Sana Kwa konde boy mwenyewe. Hata hvyo hesabu hazpo Sawa Saana Kwa Harmonize ,shida ni nini , uwezo mdogo, ama nyota hamna ama nini.

IMG_20210620_181649.jpg
 
Tatizo la Harmonize ni kupenda kujifanyisha na Diamond, halafu anapenda sn kutafuta huruma za mashabiki akipuyanga. Na hii inachangiwa na media zenye bifu na Diamond. Media nyingi zimeshaona Kiba amenyoosha mikono kwenye vita na Diamond na sasa amekuwa Mzee wa kuvizia, Ila konde ameonyesha dhahiri anahitaji bifu na Diamond lihamie kwake.

Kwangu Mimi Rayvan ndy anapaswa kuwa mshindani wake badala ya domo
 
Harmonize ni Harmonize na atabaki kuwa yeye tu.... So, hawezi kuwa kama wengine/ mwingine yoyote. Hata hivyo, asiwe na haraka wala kufanya ligi na Nguli waliomtangulia kwani akifanya hivo atachanika msamba TU. Kikubwa asikate tamaa na afanye kazi kama yeye atafika mbali maana kama ni kipaji cha kuimba anacho...

NI maoni tu ....
 
Unamfananisha mwanaume rijali anayesimamia majukumu yake na mwanamke anayefugwa ndani, siku anayemfuga akimfukuza ndio uje na tathimini zako,

Btw! Wewe umefanikiwa kwa lipi katika maisha yako? Isije kua unafatilia maisha ya mwanaume mwenzio ukiwa kibarazani kwa mume wa dada yako.
 
Harmonize ni msanii mdogo tulisema sana hapa kipindi kelele ni nyingi hatukueleweka ikabidi tuache muda uamue, nadhani kwa sasa watu wanaanza kuona uhalisia.

Yani akiacha kuwataja Wasafi hakuna anaekuwa na habari nae. Harmonize kiuhalisia hamuwezi hata Zuchu japo kuna watu watabisha ili ila wanaoujua muziki wanaelewa.
 
Unamfananisha mwanaume rijali anayesimamia majukumu yake na mwanamke anayefugwa ndani, siku anayemfuga akimfukuza ndio uje na tathimini zako,

Btw! Wewe umefanikiwa kwa lipi katika maisha yako? Isije kua unafatilia maisha ya mwanaume mwenzio ukiwa kibarazani kwa mume wa dada yako.
Huyo ni mpiga zumari wa WCB fuatilia post zake utaona.
🤣🤣
 
Unamfananisha mwanaume rijali anayesimamia majukumu yake na mwanamke anayefugwa ndani, siku anayemfuga akimfukuza ndio uje na tathimini zako,

Btw! Wewe umefanikiwa kwa lipi katika maisha yako? Isije kua unafatilia maisha ya mwanaume mwenzio ukiwa kibarazani kwa mume wa dada yako.
Sku nyingine uwe unasoma heading ya jukwaa ndo unachangia , sio ukishiba matembele unakuja kutembeza wowowo humu
 
Tatizo la harmonize ni kupenda kujifanyisha na diamond,alafu anapenda sn kutafuta huruma za mashabiki akipuyanga.Na hii inachangiwa na media zenye bifu na diamond.Media nyingi zimeshaona kiba amenyoosha mikono kwenye vita na diamond na sasa amekuwa Mzee wa kuvizia,Ila konde ameonyesha dhahiri anahitaji bifu na diamond lihamie kwake

Kwangu Mimi Rayvan ndy anapaswa kuwa mshindani wake badala ya domo
Kiba hashindani na mtu Ila watu ndo wanashindana nae.we angalia jinsi anavofanya mziki wake uku karelax ndo utaelewa
 
Ukweli Utabaki Ukweli Daima , Kitendo Cha Harmonize kujitoa wasafi elewa alipoteza mashabiki wengi wale diamond die fan hivyo Ilibadi atafute fan base yake ndo kipindi unamuona anatumia njia tofauti tofaut kujiongezea fan base yake ...
Alafu Harmonize Mwanaume we angalia Mavoko Yaliyomkuta
 
Kiba hashindani na mtu Ila watu ndo wanashindana nae.we angalia jinsi anavofanya mziki wake uku karelax ndo utaelewa
Big no..kiba ana madongo ya chini chini na ana wivu Sana Tu Kwa domo ,hujakaa kumchunguza au wewe pengine ni shabiki yake kupitiliza Kiasi umekuwa kipofu

Tena jamaa anatabia za kike na kususa balaa..
 
Achana na post zilizopita hoja yangu ya Leo kama ina uongo dhibitisha
Thibitisha kwanza kauli yako uliyosema;

"Hamonize amekua akimtuhumu Diamond kama mtu ambaye amemfanyia hiyana sana kwenye career yake ya mziki"

Weka ushahidi wa kimaandishi au vdo clip ili tuthibitishe hizo tuhuma kama ni kweli Harmonize alizituhumu,

Uje na ushahidi na sio blah blah!
 
Bla blah gani , H-baba , Mwijaku internal informer wa Harmonize wamejaza clip za media alaf unauliza nn tena
 
Big no..kiba ana madongo ya chini chini na ana wivu Sana Tu Kwa domo ,hujakaa kumchunguza au wewe pengine ni shabiki yake kupitiliza Kiasi umekuwa kipofu

Tena jamaa anatabia za kike na kususa balaa..
Uyu mwamba hana wivu Kama mnavyosema Ila nachokijua Yuko real Kama kitu hataki au hapendi anaonyesha sio mnafiki mnafiki akiwa mbele ya camera Kama mwenzake Diamond
 
Uyu mwamba hana wivu Kama mnavyosema Ila nachokijua Yuko real Kama kitu hataki au hapendi anaonyesha sio mnafiki mnafiki akiwa mbele ya camera Kama mwenzake Diamond
Mwamba yuko real sana juzi kati wamekutana na baba levo baba levo akaanza kumsifia sifia hapo hapo mbele ya camera kamchana "acha unafiki" afu akasepa
 
Back
Top Bottom