Nini kinamkwamisha Harmonize kufikia malengo anayoyatamani?

Media zote?..acha uongo wewe Clouds,Efm,na EaRadio ndo media pekee bongo?..

Nchi hii ina vijiredio uchwara mikoani huko zaidi ya vitatu..na hivyo havipigi ngoma zake?
Sasa Redio mchambawima zenji ina impact gani katika muziki wa bongo na wewe!!!,au Redio Mazingira Mara ina impact gani katika muziki wa bongo??..tunapoongelea media tunaongelea biggest Entertainment medias ambazo kwa namna moja au nyingine zina impact katika muziki wa Tanzania..usijitoe ufahamu
 
Ngoma ikichezwa kwenye hizo redio ambazo basically zina coverage kubwa huko mikoani inakuwa haijamsaidia huyo msanii kusikika kwa watu wengi?..Redio ni Redio tu hasa kama mtu ameshakuwa na jina kubwa..

New artist akichezwa sana kwenye hizo big media hapo ndo kuna impact kubwa ya tofauti.
 
Media zote?..acha uongo wewe Clouds,Efm,na EaRadio ndo media pekee bongo?..

Nchi hii ina vijiredio uchwara mikoani huko zaidi ya vitatu..na hivyo havipigi ngoma zake?
but hizo ni miongoni mwa mainstream media hivyo zilileta athari sema mwamba nae kumando Kama Anold.
 
"hivi kwann nijitutumue na dunia sio makazi, Vijinenoneno vinisumbue Hadi nishindwe kufanya kazi, Mama alisema mkuki kwa nguruwe kuishi na watu kazi, Achambe atukane ata aniue nshasamehe mzaz ni mzaz"
 
Back
Top Bottom