Sa hv anasubir diamond aachie Albam na yeye aachie vinyimbo uchwara, aisee style yake mshikaj ni ngumu Sana Ila yeye mwenyewe anajua jinsi anavyopata joto ya Jiwe 😀 wapambe wake hawajui anachokipitia soon kitasikika kilio cha mtu mzima ... Mond naye alivyo Fala anamtaja taja Kiba mpaka akina mange wehamia Kwa Kiba😀😀😀😀
Yani Harmo ana wakati mgumu sana
Unajua shida ni nn?
Fans wake ni wale wanaomchukia TU Diamond.
Ili kuwamantain ni lazima ahakikishe anaforce uadui na Naseeb.
Yani kwa post ,kwa trending, kwa kila kitu.
Ili awake hawa fans raha na waendelee kumuona mwanamuziki mzuri.
Kitu ambacho kinampoteza kimuziki mana kweli anafanikiwa kukua kama ADUI NAMBA MOJA WA DIAMOND PLATNUMZ, very true.
Ila kimuziki hakui, anazidi kupoteza hana muda wa kutafuta content zuri za muziki.mzuri, mashairi mazuri, video nzuri , mavazi mazuri, mwonekano mzuri wa kistar, lifestyle ya kimwanamuziki wa kimataifa.
Yeye amekomaa na kufeed ego za hawa tunaokutana nao humu wanaomwambia kuwa yeye ni BOOOOONGE LA MWANAMUZIKI, ili ti wasikie raha kuwa sifa hii hawajampa Diamond
Atakuja kuamua kubadilika when it is too late.
Anjela yule now anatengeneza platform yake peke yake, atasimama vizur kuliko Harmonize.
Tukiwa hapa!!
Na usifikir yeye hili halioni!
Analiona, analijua.
Ila sasa ndo atafanyaje, LAZIMA APROVE HIS FANS RIGHT!
by kuwaamini wanachomwambia hata kama yeye ndani yake anajua HAWAMAANISHI from his angle, bali Naseeb hating corner.
Ndo mana ya kuwa na watu kama Hbaba kama wasemaji wakuu wa muziki wake na kundi lake.
He is busted nakwambia, basi tu.