Nini kinamkwamisha Harmonize kufikia malengo anayoyatamani?

Harmonize amekuwa akitamani kutawala soko la mziki Tanzania , amejitahdi Sana Kwa Kias chake ,media kubwa zinampigia chapuo , Baadh ya accont maarufu za wambea Instagram pia zipo nyuma yake , ....
Eti korosho nimecheka kingese😂😂
 
Sku nyingine uwe unasoma heading ya jukwaa ndo unachangia , sio ukishiba matembele unakuja kutembeza wowowo humu
Check,
Check,
Heri ya mie nimeshiba ugali tembele wa jasho langu kuliko weye unayekula wali kuku kwa mgongo wa dada ako, ukishiba waja kuwaonea choyo wanaume watafutaji.

Harmonize anawaumiza vichwa sana sababu kawazidi akili hadi mtarimbo,
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Usitutanie kuhusu mitarimbo. Kama unabisha naweza kuuweka hapa nikapigwa ban bure
 
Check,
Check,
Heri ya mie nimeshiba ugali tembele wa jasho langu kuliko weye unayekula wali kuku kwa mgongo wa dada ako, ukishiba waja kuwaonea choyo wanaume watafutaji.

Harmonize anawaumiza vichwa sana sababu kawazidi akili hadi mtarimbo,
[emoji23][emoji23][emoji23]
Makelele Sawa , Ila data ndo zinaongea.....apambane na zuchu Kwanza , alaf Acha mawazo ya pornography ushakuwa mtu mzima na watoto juu, fikra za Kwa mpalange zitakupoteza mjini hapa
 
Check,
Check,
Heri ya mie nimeshiba ugali tembele wa jasho langu kuliko weye unayekula wali kuku kwa mgongo wa dada ako, ukishiba waja kuwaonea choyo wanaume watafutaji.

Harmonize anawaumiza vichwa sana sababu kawazidi akili hadi mtarimbo,
[emoji23][emoji23][emoji23]
Dada acha kupenda Sana ngono utapata ukimwi
 
Nilikuwa kusini, ambako ndiyo nyumbani kwa Harmonize......nilichokutana nacho nilishangaa sana. yaani habari kubwa huko ni Diamond na alikiba, Harmonize yuko mbali kidogo kutoka kwa hao jamaa. kabla nilifikiri atakuwa na maelfu ya mashabiki kuwazidi wote kwakuwa anatoka huko.

Yote kwa yeto, anajitahidi sana maana kuendelea kuwepo tu mpaka muda huu ni ushindi tosha kwake....wafikiriwe tu waliochemka. Tatizo lake tu kuwa anapenda mno kujitutumua kwa huyo diamond kitu ambacho si chema sana kwani mwenzake yupo kitambo sana

Kwangu mimi, heshima pekee imuendee huyu alikiba.....jamaa ni wa tofauti sana aisee; yupo sana tu, utamsikiliza utamchukia baadae unarudi tena kumsikiliza mwenyewe. wengine wote watapita na watamuacha amesimama pale pale. tusubiri tu!
 
Unasema kuwa "Harmonize amekuwa akimtuhumu Diamond kama mtu ambaye ememfanyia hiyana Sana kwenye career yake ya mziki" toa ushahidi
 
Harmonize amekuwa akitamani kutawala soko la mziki Tanzania , amejitahdi Sana Kwa Kias chake ,media kubwa zinampigia chapuo , Baadh ya accont maarufu za wambea Instagram pia zipo nyuma yake. Na kuna watangazaji pia ambao richa ya kuonekana kama wehu eg mwijaku ,lakn hawajali ni kama wamejitoa kafara kumsupport kijana.
Umefikia stage mbaya sana, nawaonea huruma sana wazazi wako.
Hata hvyo nguvu aliyowekeza kijana inaonekana kuleta matokeo madogo, hapa najaribu kulinganisha ukubwa wa uwekezaji aliyoufanya na output inayotoka zaidi ya miaka miwili sasa , mda mzuri kabisa Kwa matazamio.

Harmonize Hana tuzo yyte kubwa na ya maana ,
Tangu Harmonize aanze muziki kuna tuzo gani serious bado ziko hai ?

Tuzo za maana zilikuwa Channel O ( zimekufa ), Kili Music awards ( Zimekufa ), na MTV Base ( zinasuasua )

Huyo Domo mwenyewe mpaka Lip bum hizo Tuzo alizipata wakati ambao muziki haukua na ushindani mkubwa.

Mara ya mwisho Tuzo za Kili zinafanyika, baada ya kuona motooo wa ushindani , domo akajifanya hazitaki 🤣

Kiba akazoa tuzo 7 halafu yeye akaambulia 2 tena hata siku ya tuzo alienda Mwajuma Queen Darleen. Domo aliona aibu hata kuhudhuria.
sioni record ya Harmonize popote pale Kwenye mashindano yyte Yale akitoboa , badala yake Harmonize kabebwa na Diamond, kijana wa Tandale ndo mtu pekee aliyeiona thamani yake , mda huo wadau wote wa Mziki walimuona hawezi.
Mzee wa Lip bum atakuwa anakupelekea moto siyo kwa kumwabudu huku.
Harmonize amekuwa akimtuhumu Diamond kama mtu ambaye ememfanyia hiyana Sana kwenye career yake ya mziki. Yeye mwenyewe na wapambe wake wamekuwa wakitumia nguvu nyingi Sana kumtukana na kumkashifu kijana wa Tandale , kelele ni nyingi na zenye ushawishi hata hvyo performance ya Harmonize ukilinganisha na kelele hzo ni ndogo Sana kwenye uwanja wa Mziki.
Leta hapa ushahidi wa hizo tuhuma
YouTube imekuwa ndo kipimo cha kukubalika Kwa msanii , msanii yyte akitoa wimbo, wimbo huo ukikimbiza YouTube basi msanii anavimba , na Hiyo strategy hata Harmonize mwenyewe anaitumia, wimbo wa Attitude ulipotoka makelele yalikuwa mengi Sana Kwa konde boy mwenyewe. Hata hvyo hesabu hazpo Sawa Saana Kwa Harmonize ,shida ni nini , uwezo mdogo, ama nyota hamna ama nini .

View attachment 1824713
Mimi mwenyewe ninaweza kuchagua video kumi za Domo mpaka Lip bum na nikakuletea hapa na video moja ya Harmonize yenye views wengi.

Tatizo la nyinyi misukule wa domo mmeokotwa tu kwa vile mna nguvu ya kubwabwaja na kugawa puru lakini akili zero.

Domo ana tabia ya kuboost sana nyimbo zake zenye views chache ili ziongezeke. Ila views wa Harmonize ni complete organic.

Huyo Zuchu alivyoaanza tu muziki, account yake wameiboost sana tena mimi nilileta humu ushahidi. Sasa huu ni utahira wa kulinganisha organic views na sponsored accounts.

Yote kwa yote views siyo ubora wa wimbo.

Huyo Harmonize angekuwa siyo lolote, usingelala unamuota unamfungulia threads kila kukicha. Unaacha kumpikia mumeo chai, unakomaa na mambo yasiyokuhusu.
 
Umefikia stage mbaya sana, nawaonea huruma sana wazazi wako.

Tangu Harmonize aanze muziki kuna tuzo gani serious bado ziko hai ?

Tuzo za maana zilikuwa Chanel O ( zimekufa ), Kili Music awards ( Zimekufa ), na MTV Base ( zinasuasua )

Huyo Domo mwenyewe mpaka Lip bum hizo Tuzo alizipata wakati ambao muziki haukua na ushindani mkubwa.

Mara ya mwisho Tuzo za Kili zinafanyika, baada ya kuona motooo wa ushindani , domo akajifanya hazitaki 🤣

Kiba akazoa tuzo 7 halafu yeye akaambulia 2 tena hata siku ya tuzo alienda Mwajuma Queen Darleen. Domo aliona aibu hata kuhudhuria.

Mzee wa Lip bum atakuwa anakupelekea moto siyo kwa kumwabudu huku.

Leta hapa ushahidi wa hizo tuhuma

Mimi mwenyewe ninaweza kuchagua video kumi za Domo mpaka Lip bum na nikakuletea hapa na video moja ya Harmonize yenye views wengi.

Tatizo la nyinyi misukule wa domo mmeokotwa tu kwa vile mna nguvu ya kubwabwaja na kugawa puru lakini akili zero.

Domo ana tabia ya kuboost sana nyimbo zake zenye views chache ili ziongezeke. Ila views wa Harmonize ni complete organic.

Huyo Zuchu alivyoaanza tu muziki, account yake wameiboost sana tena mimi niliketa humu ushahidi. Sasa huu ni utahira wa kulinganisha organic views na sponsored accounts.

Yote kwa yote views siyo ubora wa wimbo.

Huyo Harmonize angekuwa siyo lolote, usingelala unamuota unamfungulia threads kila kukicha. Unaacha kumpikia mumeo chai, unakomaa na mambo yasiyokuhusu.
Kiba hajawahi kuchukua tuzo Saba kwa mkupuo KMA Kama unavyodai, nachokumbuka ilikuwa 2014/2015 hivi na alipata tuzo tano tu huku hasimu wake diamond akiambulia mbili. Hakuna aliyewahi vunja rekodi ya Diamond KMA kwa kuchukua tuzo zaidi ya Saba.

Nakumbuka kipindi kile tuzo ya best performer KMA alichukua Alikiba halafu AFRIMA akachukua Diamond, hata hivyo hizo tuzo ndizo zilikuwa za mwisho na zikafa kabisa kwa uhanangwa wa wasimamizi.
 
Umefikia stage mbaya sana, nawaonea huruma sana wazazi wako.

Tangu Harmonize aanze muziki kuna tuzo gani serious bado ziko hai ?

Tuzo za maana zilikuwa Channel O ( zimekufa ), Kili Music awards ( Zimekufa ), na MTV Base ( zinasuasua )

Huyo Domo mwenyewe mpaka Lip bum hizo Tuzo alizipata wakati ambao muziki haukua na ushindani mkubwa.

Mara ya mwisho Tuzo za Kili zinafanyika, baada ya kuona motooo wa ushindani , domo akajifanya hazitaki 🤣

Kiba akazoa tuzo 7 halafu yeye akaambulia 2 tena hata siku ya tuzo alienda Mwajuma Queen Darleen. Domo aliona aibu hata kuhudhuria.

Mzee wa Lip bum atakuwa anakupelekea moto siyo kwa kumwabudu huku.

Leta hapa ushahidi wa hizo tuhuma

Mimi mwenyewe ninaweza kuchagua video kumi za Domo mpaka Lip bum na nikakuletea hapa na video moja ya Harmonize yenye views wengi.

Tatizo la nyinyi misukule wa domo mmeokotwa tu kwa vile mna nguvu ya kubwabwaja na kugawa puru lakini akili zero.

Domo ana tabia ya kuboost sana nyimbo zake zenye views chache ili ziongezeke. Ila views wa Harmonize ni complete organic.

Huyo Zuchu alivyoaanza tu muziki, account yake wameiboost sana tena mimi nilileta humu ushahidi. Sasa huu ni utahira wa kulinganisha organic views na sponsored accounts.

Yote kwa yote views siyo ubora wa wimbo.

Huyo Harmonize angekuwa siyo lolote, usingelala unamuota unamfungulia threads kila kukicha. Unaacha kumpikia mumeo chai, unakomaa na mambo yasiyokuhusu.
Harmonize ana supporter viwavi Sana , imagine this non-sense pumpkin naye ni chawa wa harmonize , namshaur kondeboy abadili strategy kabla hajapata hasara ya Karne
 
Utapelekewa motooooooo🔥🔥🔥

Na mwaka huu mpaka mtajifungua kwa uchungu, kudadeki.
 
Unamfananisha mwanaume rijali anayesimamia majukumu yake na mwanamke anayefugwa ndani, siku anayemfuga akimfukuza ndio uje na tathimini zako,

Btw! Wewe umefanikiwa kwa lipi katika maisha yako? Isije kua unafatilia maisha ya mwanaume mwenzio ukiwa kibarazani kwa mume wa dada yako.
U nail it Madam
 
Umefikia stage mbaya sana, nawaonea huruma sana wazazi wako.

Tangu Harmonize aanze muziki kuna tuzo gani serious bado ziko hai ?

Tuzo za maana zilikuwa Channel O ( zimekufa ), Kili Music awards ( Zimekufa ), na MTV Base ( zinasuasua )

Huyo Domo mwenyewe mpaka Lip bum hizo Tuzo alizipata wakati ambao muziki haukua na ushindani mkubwa.

Mara ya mwisho Tuzo za Kili zinafanyika, baada ya kuona motooo wa ushindani , domo akajifanya hazitaki 🤣

Kiba akazoa tuzo 7 halafu yeye akaambulia 2 tena hata siku ya tuzo alienda Mwajuma Queen Darleen. Domo aliona aibu hata kuhudhuria.

Mzee wa Lip bum atakuwa anakupelekea moto siyo kwa kumwabudu huku.

Leta hapa ushahidi wa hizo tuhuma

Mimi mwenyewe ninaweza kuchagua video kumi za Domo mpaka Lip bum na nikakuletea hapa na video moja ya Harmonize yenye views wengi.

Tatizo la nyinyi misukule wa domo mmeokotwa tu kwa vile mna nguvu ya kubwabwaja na kugawa puru lakini akili zero.

Domo ana tabia ya kuboost sana nyimbo zake zenye views chache ili ziongezeke. Ila views wa Harmonize ni complete organic.

Huyo Zuchu alivyoaanza tu muziki, account yake wameiboost sana tena mimi nilileta humu ushahidi. Sasa huu ni utahira wa kulinganisha organic views na sponsored accounts.

Yote kwa yote views siyo ubora wa wimbo.

Huyo Harmonize angekuwa siyo lolote, usingelala unamuota unamfungulia threads kila kukicha. Unaacha kumpikia mumeo chai, unakomaa na mambo yasiyokuhusu.
Kumbe Mzee we nawe huna tofauti na machawa wengine.
 
Hehehe, mimi chawa, wewe shoga. Hapo Wasafi mna genge lenu likiongozwa na Lokole. Domo anawapulizaaaaaaaaa🔥🔥🔥🔥
 
Harmonize amekuwa akitamani kutawala soko la mziki Tanzania , amejitahdi Sana Kwa Kias chake ,media kubwa zinampigia chapuo , Baadh ya accont maarufu za wambea Instagram pia zipo nyuma yake. Na kuna watangazaji pia ambao richa ya kuonekana kama wehu eg mwijaku ,lakn hawajali ni kama wamejitoa kafara kumsupport kijana.

Hata hvyo nguvu aliyowekeza kijana inaonekana kuleta matokeo madogo, hapa najaribu kulinganisha ukubwa wa uwekezaji aliyoufanya na output inayotoka zaidi ya miaka miwili sasa , mda mzuri kabisa Kwa matazamio.

Harmonize Hana tuzo yyte kubwa na ya maana , sioni record ya Harmonize popote pale Kwenye mashindano yyte Yale akitoboa , badala yake Harmonize kabebwa na Diamond, kijana wa Tandale ndo mtu pekee aliyeiona thamani yake , mda huo wadau wote wa Mziki walimuona hawezi.

Harmonize amekuwa akimtuhumu Diamond kama mtu ambaye ememfanyia hiyana Sana kwenye career yake ya mziki. Yeye mwenyewe na wapambe wake wamekuwa wakitumia nguvu nyingi Sana kumtukana na kumkashifu kijana wa Tandale , kelele ni nyingi na zenye ushawishi hata hvyo performance ya Harmonize ukilinganisha na kelele hzo ni ndogo Sana kwenye uwanja wa Mziki.

YouTube imekuwa ndo kipimo cha kukubalika Kwa msanii , msanii yyte akitoa wimbo, wimbo huo ukikimbiza YouTube basi msanii anavimba , na Hiyo strategy hata Harmonize mwenyewe anaitumia, wimbo wa Attitude ulipotoka makelele yalikuwa mengi Sana Kwa konde boy mwenyewe. Hata hvyo hesabu hazpo Sawa Saana Kwa Harmonize ,shida ni nini , uwezo mdogo, ama nyota hamna ama nini.

View attachment 1824713
Alipanda Zaid kimataifa baada ya kupigwa ban na hizo media na hao watu wa mitandaoni,ikatumika nguvu kubwa kumuinua na kweli akainuka.At the last akasaliti na matusi/dharau juu.
Akaenda kea wale wale walomkataa na kumsagia kunguni.
Hao watu ni wanamsupport Ili kumtumia kumuumiza adui yao Diamond na WCB,ndo Mana hawana ajenda ya kudumu.Wao silaha yoyote wanabeba kupambana na WCB.Ndo Mana leo wapo kwa Ali KIBA,kesho mara kea harmonize,kesho kutwa utakuta wapo kwa Darassa.Mradi waokoteze.

Bado naendelea kuamini Harmonize Fan base yake ilikua ni WCB tu na Wamakonde walio wengi sanaaa.
Kwa huko nje nafikiri mameneja alokua nao bado ni local sana na hawana connection,hata ukiangalia harmonize collabo bado anapiga na kina SKALES na Yemi Alade ambao wote aliwapata wakati yupo WCB.
JEMBE ni JEMBE hawezi kabisaaa,bora hata MR.PUAZI labda kidooogo alitoka naye sana nje kipindi cha WCB.

Support inayoendelea kwa Ali KIBA pia itamcost sanaa na ataijua Zaid base yake ilikua wapi.
Na kiba akikaza Zaid ndo ntoleee.

Music mgumu sana nje ya connection,unahitaji watu Zaid mtegemeane na si wakutegemee,Sasa pale Kondeboy ndo wamtegemee yeye Kila kitu aaah tabu sanaaa.

All in All atulize akili aachane na nyimbo za kiki kwa Sasa maana hazimjengi Zaid tu ya kuonekana kituko.
Washauri wake wamueleze ajijenge Zaid yeye na si Sasa wanavyojarbu kutafuta watu kwa ajili ya kuleta upinzani kuwatag baadhi ya wasanii;

Ibrah to Rayvany.
Angela to Zuchu.
Ili yeye Abaki ashindanishwe na Diamond.
Kazi anayo.
 
Back
Top Bottom