Hao wawili wa mwanzo, siyo kwamba majina yanafanana, bali ni ndugu wa damu. Ni watoto wa dada yake. Mayanga ni jamaa yake kwa sababu wameoa nyumba moja. Usipende kutukana, jibu hoja. Ndivyo wenye akili timamu wanavyofanya.Kwahiyo majina yakifanana na lazima muwe ndugu ? Acha ufala wew
[emoji706][emoji706][emoji706]Alikosa kufunzwa na mamaye Ulimwengu utamfundisha
Ni swala la muda
Muda ni rafiki mzuri sana
Ataamkia mpaka watoto
Ameishupaza shingo......
Hahaha sikuizi ana kaofisi kake pale mulkenuym towers at hata akienda kuttuma vocha kuna wapumbavu wanamlinda pumbavuHivi yule anaejiita "Mwanaharakati huru" Majura matamko yake nani huwa pia nyuma yake?
Dunia aijaacha kufunza watu,Alikosa kufunzwa na mamaye Ulimwengu utamfundisha
Ni swala la muda
Muda ni rafiki mzuri sana
Ataamkia mpaka watoto
Ameishupaza shingo......
Nyoka hawezi kuzaa mjusi, mjomba wake alivyo na kiburi ndiyo nayeye alivyo.Kabla ya hata uchaguzi na harakati zake kuanza, mwenyekiti wa Vijana wa CCM, Kheri James amekuwa akitoa matamshi hatarishi yenye viashiria vyote vya ugomvi.
Ajabu ni kuwa hata sasa wakati wa kampeni za uchaguzi zikiendelea huku viongozi mbalimbali wa serikali, vyama, dini na hata wanadiplomasia wakisisitiza amani huyu kijana ameonekana akiendelea kutoa matamshi hatari ikiwa pia na kusema hata Lissu anaweza kupigwa sindano ya sumu akiwaletea za kuleta.
Nini kinampa kiburi hadi watu washindwe kuchukua hatua dhidi yake hata ndani ya CCM ambao nadhani matamshi hayo hawayapendi kwani kiburi hicho ndio kinacho sababisha wanatupwa mkono na wananchi.
Ni kweli ni huo undugu pekee na Magufuli ndio adili ya kiburi na pia chama kushindwa kimdhibiti?
Mbona wanajimaliza?
Mwaka huu sitashaangaa kama hatutazalisha wakimbiziDunia aijaacha kufunza watu,
Watumie hata akili wamuulize hata Ruto, Kenyatta au odinga Hawa wanajua kiswahili wataongea nao wawaeleze kule sio pazuri,japo wao ufanya mzahaa,dunia imechoka gharama za kuhudumia wakimbizi sababu ya watu wachache ambao mama zao walizembea kwenye malezi.
Wajiandae kuvuna Ndimi zao. Laana na baraka ya mtu imo ndani ya ulimi wake
Mtoto wa dada hawezi kumfanya chochoteMatamko Kama haya Siro ufyataa na ujifanya ajasikia
Mtoto wa dada ni sawa na musiba Majura mulaga siro uufyata.Mtoto wa dada hawezi kumfanya chochote
Wanajeshi wameapa kuilinda nchi na sio kumlinda mtu.Muhimu Hawa wahamiaji warude kwaoMwaka huu sitashaangaa kama hatutazalisha wakimbizi
KabisaMtoto wa dada ni sawa na musiba Majura mulaga siro uufyata.
Ukoo una laana ya mauaji si bure,kuna ndugu yao alikuwa DED aliiuwa mtu kanisani kwa kumpiga risasi ndani ya nyumba ya ibada, nashangaa viongozi wa dini kuwa sehemu ya kusapoti watu Hawa hata Kama ni njaa wangeweka aibu pembeni kuisitiri hata dini.Huu ukoo utakuwa tayari na kisu kikali kwa dili zote za miaka mitano ila nadhani ushamba hautakuja kuwaondoka.
Wanadhani wao ndiyo wa kwanza kuwa na hela na madaraka.
Yule Ded aliyeua mtu kwa risasi kanisani anatoka ukoo huu huu wa laana ya mauaji.Wao kuuwa mtu sababu ya tumbo ni sawa na kunywa pepsi. Kimtokacho mtu kimo ndani mwake.Kuna koo huwa zina laana. Haiwezekana mtu mwenye roho ya kawaida akawa anapenda kuua binadamu wenzake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Waanze kufungaisha warudi kwao!!Doto James
Shari James
Manyanga construction
Kichaa kwelikweli
Mahela nk wote ni imbone la kuree!
Hawapaswi kuwa uraiani