Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,421
Ukishaonja asali huna jinsi lazima ukubali kupelekeshwaWizara ya madini haijawahi kumwacha mtu salama. Je, ni waziri gani mwingine aliwahi kuhamishwa toka wizara ya madini kama si kutumbuliwa?
Kairuki ndani ya miaka 3:
Desemba 2015- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
Octoba 2017- Waziri wa Madini
Januari 2019- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Uwekezaji.
Je, anahamishwa kama promotion au demotion?
Wengi wanatumbuliwa yeye anahamishwa
Kikubwa tu usitume SMS kwenye namba ya Mh Angela Kairuki
Naamini ipo siku ile wizara itakua chini yake.Leo Mzee kasema kuna Nyakati anatamani awe Waziri wa Madini Na kamtangazia kabisa Waziri Mpya Kuwa akizingua atamzingua
Hii mbinu nilikuwa siijui, JPM amenifundisha leoSiku hizi Mkeo akitongozwa Na Mbunge unapeleka Malalamiko kwa Spika achukuliwe hatua
Ngoja nim zoom kwenye picha.!Wee ushamuona kwa ukaribu Angela?
Hata Mie ninge ishia kumhamisha sio kumtumbua!
Siku hizi Mkeo akitongozwa Na Mbunge unapeleka Malalamiko kwa Spika achukuliwe hatua
Boonge la dada la kipare.Wee ushamuona kwa ukaribu Angela?
Hata Mie ninge ishia kumhamisha sio kumtumbua!
Hii mbinu nilikuwa siijui, JPM amenifundisha leo
View attachment 990417
Wizara ya madini haijawahi kumwacha mtu salama. Je, ni waziri gani mwingine aliwahi kuhamishwa toka wizara ya madini kama si kutumbuliwa?