Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 26,829
- 38,912
Unamuonea wivu?Hasa kwa rangi kama hii nyeupe weweeeeee
Unamuonea wivu?Hasa kwa rangi kama hii nyeupe weweeeeee
[emoji28][emoji28]Kuna watu wanapenda kujitolea kudanja kama mleta uzi, ni vizuri kujitolea kwaajili ya wengine mleta uzi umethubutu sana sana
Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 990417
Wizara ya madini haijawahi kumwacha mtu salama. Je, ni waziri gani mwingine aliwahi kuhamishwa toka wizara ya madini kama si kutumbuliwa?
Kairuki ndani ya miaka 3:
Desemba 2015- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
Octoba 2017- Waziri wa Madini
Januari 2019- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Uwekezaji.
Je, anahamishwa kama promotion au demotion?
Mwanzoni aliunganisha wizara na zingine kuzifuta ili kupunguza ukubwa na gharama lakini sasa hivi zinaundwa mpya ili watu wapate TEUZI!
Kwa maana bunge liligeuzwa sehemu ya mipasho na misuto kama wale wavaa madera wa kwa mtogore...Siku hizi Mkeo akitongozwa Na Mbunge unapeleka Malalamiko kwa Spika achukuliwe hatua
Eti nnnUkishaonja asali huna jinsi lazima ukubali kupelekeshwa