jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,371
Mimi siimiliki hiyo tafsiri.Siyo tafsiri hiyo uliyo nayo.
Kupwaya ni umbile lisojazika angalau kwa mjazo standard.
Mimi siimiliki hiyo tafsiri.Siyo tafsiri hiyo uliyo nayo.
Ni lazima abebwe, kazi anayoifanya ni kubwa sanaKwenye madini alikuwa Hana idea kbsa,huyu mama ni kama anabebwa tu....
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa nimeamini hii 'stori' baada ya kukusoma hapo juu mkuu....Kama Kwako / Kwenu ni Mzigo tambueni kuwa kwa ' Binadamu ' mwingine huyo ni ' Tamu / Sukari / Asali ' yake ya ' Kibaiolojia ' iliyotukuka kabisa.
Gazeti la Mwananchi, leo tarehe 24 Jan 2019, page 3, laandika Wadau wajadili kumpumzisha Kairuki kwenye uwekezaji"
Nanukuu para no moja...."baadhi ya wadau wamesema huko alikopelekwa ndiko kuna majukumu maxito zaidi"
NAJIULIZA
Huyu mama anapwaya nabamekuwa mzigo?
mesahau kuwa wakati anateuliwa kuwa waziri wa vito alikuwa kafungasha mzigo wa mkubwa, baada ya muda akatotoa hivyo alikuwa na siku 90+ za kulea kichangaAiekuwa akifanya kazi kwa nguvu ni naib wazir.. yeye alikuwa yupoyupo tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila tujiulize, huyu dada hajuwi wajibu wa kazi zake au, is she incompetent au anawekwa tu kwa ajili ya maslahi ya kiongozi anayemla uroda? Why kukaa na waziri mzigo asiyejuwa hili wala lile huku akilipwa hela za madafu yetu? Ana faida gani na nchi yetu? Nini cha maana alichofanya katika wizara alizopitia? Kama ni mzigo, kwanini asitumbuliwe jipu lake lililoiva?
We unacho alichonacho?Huyu Mama ni kilaza tu, wala sioni umuhimu wake katika wizara anazo ongoza.
Mkuu, fafanua kidogo!hii ni sawa na kumtuhumu Bashite kuwa hafai u RC huku ukitegemea kuna mtu atachukua hatua dhidi yake.
sahau ndugu!
Siyo kwa maana ya kwako ambayo kwa kweli si nzuri.Kama Kwako / Kwenu ni Mzigo tambueni kuwa kwa ' Binadamu ' mwingine huyo ni ' Tamu / Sukari / Asali ' yake ya ' Kibaiolojia ' iliyotukuka kabisa.
Umesahau na Dada yangu Umi Mwalimu.Katika Mawaziri nilioona na mizigo japo Mjomba hataki kuwatoa ni Angela Kairuki,Jenista Muhagama, na Naibu Waziri Juliana Shonza
A.Kairuki ana nafuu kuliko huyo Jenista M, yani nikikumbuka wakati sakata la kikokotoe yani alikua anaibuka na hoja zisizo na mantiki huyu hafai kabisaKatika Mawaziri nilioona na mizigo japo Mjomba hataki kuwatoa ni Angela Kairuki,Jenista Muhagama, na Naibu Waziri Juliana Shonza