Boonge la dada la kipare.
Acha kujishebedua wewe, kwani baba yake pia mpare?
Boonge la dada la kipare.
Hiyo ni zero point five ya mzungu na mpare.Acha kujishebedua wewe, kwani baba yake pia mpare?
Hiyo ni zero point five ya mzungu na mpare
Namuongelea huyo dada wewe unakuja na maswala mengine tofauti kabisa.Kwani kuna mzungu ambaye ni Waziri Mkuu mstaafu wa nchi ya BONGO?
Namuongelea huyo dada wewe unakuja na maswala mengine tofauti kabisa.
Mwenye uelewa mkubwa anayo haki ya kufafanua kwa ajili ya faida ya mwenye uelewa mdogo.Mimi pia namuongelea huyo dada lakini kwa sababu uelewa wako ni mdogo ndio maana hunielewi!!!
Kumbuka hili ni jukwaa huru ikiwa wewe unao uelewa mkubwa basi uelewa huo una kila sababu ya kukufanya ukafafanua kwa ajili ya wengi.
Du! Mahaba niue yamemlegeza kamanda
Huyu na Ummy nina mahaba nao binafsi tu,hata pamoja na uCCM wao bado siwezi kuwakosoa.
Stop, this is second-first Lady!Gazeti la Mwananchi, leo tarehe 24 Jan 2019, page 3, laandika Wadau wajadili kumpumzisha Kairuki kwenye uwekezaji"
Nanukuu para no moja...."baadhi ya wadau wamesema huko alikopelekwa ndiko kuna majukumu maxito zaidi"
NAJIULIZA
Huyu mama anapwaya nabamekuwa mzigo?
hii ni sawa na kumtuhumu Bashite kuwa hafai u RC huku ukitegemea kuna mtu atachukua hatua dhidi yake.Gazeti la Mwananchi, leo tarehe 24 Jan 2019, page 3, laandika Wadau wajadili kumpumzisha Kairuki kwenye uwekezaji"
Nanukuu para no moja...."baadhi ya wadau wamesema huko alikopelekwa ndiko kuna majukumu maxito zaidi"
NAJIULIZA
Huyu mama anapwaya nabamekuwa mzigo?
Mwanamke "kupwaya" ni neno tata.Gazeti la Mwananchi, leo tarehe 24 Jan 2019, page 3, laandika Wadau wajadili kumpumzisha Kairuki kwenye uwekezaji"
Nanukuu para no moja...."baadhi ya wadau wamesema huko alikopelekwa ndiko kuna majukumu maxito zaidi"
NAJIULIZA
Huyu mama anapwaya nabamekuwa mzigo?
Siyo tafsiri hiyo uliyo nayo.Mwanamke "kupwaya" ni neno tata.
Aiekuwa akifanya kazi kwa nguvu ni naib wazir.. yeye alikuwa yupoyupo tu.Kwenye madini alikuwa Hana idea kbsa,huyu mama ni kama anabebwa tu....
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli hyu wangempa kitengo hko mambo ya kina mama ccm tuAiekuwa akifanya kazi kwa nguvu ni naib wazir.. yeye alikuwa yupoyupo tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Gazeti la Mwananchi, leo tarehe 24 Jan 2019, page 3, laandika Wadau wajadili kumpumzisha Kairuki kwenye uwekezaji"
Nanukuu para no moja...."baadhi ya wadau wamesema huko alikopelekwa ndiko kuna majukumu maxito zaidi"
NAJIULIZA
Huyu mama anapwaya nabamekuwa mzigo?