Nini kinamsibu Waziri Angela Kairuki? Miaka 3 Wizara 3!

Nini kinamsibu Waziri Angela Kairuki? Miaka 3 Wizara 3!

David, Bathsheba and Uriah!

2 Samuel 11-12 New King James Version (NKJV)

Then it happened one evening that David arose from his bed and walked on the roof of the king’s house. And from the roof he saw a woman bathing, and the woman was very beautiful to behold. So David sent and inquired about the woman. And someone said, “ Is this not Bathsheba, the daughter of
Eliam, the wife of Uriah the Hittite?” Then David sent messengers, and took her; and she came to him, and he lay with her, for she was
cleansed from her impurity; and she returned to her house. And the woman conceived; so she sent and told David, and said, “I am with child.”

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vingine havifai kujadili hapa... WanachunguliaView attachment 990709

Jr[emoji769]
Mshana kuna vitu vya ndani sana huwa unavijua huwa nikisoma comments zako, lakini huwa unaweka kwenye mabano sana. Wengine tusio wanafasihi, au kwa kufeli kwetu to read between lines; huwa tunatoka kapa uwe unafunguka kidogo mkuu ndiyo raha ya jukwaa hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama muda mwingi anautumia kuwaza kati ya Mkodishaji wa Gari isiyo halali yake na Mmiliki wa Gari halali yake atawezaje kuwa na Ufanisi kila anapopangiwa? Naomba niishie hapa tafadhali.


Duh! Kitendawili? Tega .... !
 
View attachment 990417
Wizara ya madini haijawahi kumwacha mtu salama. Je, ni waziri gani mwingine aliwahi kuhamishwa toka wizara ya madini kama si kutumbuliwa?

Kairuki ndani ya miaka 3:

Desemba 2015- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.

Octoba 2017- Waziri wa Madini

Januari 2019- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Uwekezaji.

Je, anahamishwa kama promotion au demotion?

Mwanzoni aliunganisha wizara na zingine kuzifuta ili kupunguza ukubwa na gharama lakini sasa hivi zinaundwa mpya ili watu wapate TEUZI!

Na alikuwa haonekani wala kusikika kwa kipindi kirefu kidogo.

Alikwendaga wapi huyu mama? Au alikuwa maternity leave kulea mimba na kujifungua?
 
Nimecheka sana!
Ila huyu mama ana kasura flani hivi kanakoweza kukufanya ujione una kilakitu kama uko nae.
Na kwa wale wenye ugonjwa wa wanawake weupe kama mimi....
Kama kuna mbinu ya kumpata inabidi umpate tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kashatahadharisha hapo hamna namna tena aisee
 
Back
Top Bottom