Nini kinamsibu Waziri Angela Kairuki? Miaka 3 Wizara 3!

Nini kinamsibu Waziri Angela Kairuki? Miaka 3 Wizara 3!

Ninaowajua watakaoomba kuteuliwa hapo mpaka sasa wapo kama watono
-Matayo
-Kitanda
-Kuna prof mmoja
-Kuna Eng mmoja
-Kuna Mfanyabiashara mmoja

Hao sijawataja kwa sababu maalum, kumbe naye yumo, safi ushindani utakuwa mzuri, nipo tayari kumpigia kampeni
Mathayo mtoe hapo, hana credibility tena kwa wanasame, watu wamemchoka sana. Wengine kwa sababu hujawataja siwezi kuwasemea.
 
Mama mmoja mchapakazi sana.Wizara aliyotoka amefanya mengi sana
 
Hoyo mama namkubali sana.
Kwanza ni mzuri halafu hana dharau na mtu zaidi ya uadilifu wake na kufanya kazi kitaaluma bila maneno mengi.

Angefaa kuwa Makamu wa Rais 2025 endapo CCM itarudi madarakani kwa kumsimamisha Mzanzibari.

Anafaa sana kuwa waziri.
Chapa kazi bila kuchoka mama ,mh.Rais amekuamini.


Sent using Jamii Forums mobile app
Anaharibu kila sehemu!
 
Huyu mrembo nadhani roho nzuri ndiyo inamdhuru. Hata akijitahidi awe kama Ndugai hawezi.
We Faiza ni typing error au!! Mie nadhani unamaanisha huyo bibie ana sura nzuri ambayo inamufanya mtumbuaji kupata kigugumizi kama siyo ku- paralyse ( just appealing to pity and beauty)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ana sifa za kuhamishika.

Sio kama wale kina Mujage sijui Mijage.
 
View attachment 990417
Wizara ya madini haijawahi kumwacha mtu salama. Je, ni waziri gani mwingine aliwahi kuhamishwa toka wizara ya madini kama si kutumbuliwa?

Kairuki ndani ya miaka 3:

Desemba 2015- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.

Octoba 2017- Waziri wa Madini

Januari 2019- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Uwekezaji.

Je, anahamishwa kama promotion au demotion?

Mwanzoni aliunganisha wizara na zingine kuzifuta ili kupunguza ukubwa na gharama lakini sasa hivi zinaundwa mpya ili watu wapate TEUZI!
Non Performer.
Mtaji wake mkubwa ni kupendezesha cabinet line up.
 
Back
Top Bottom