hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
HahaaWee ushamuona kwa ukaribu Angela?
Hata Mie ninge ishia kumhamisha sio kumtumbua!
Sent using Jamii Forums mobile app
HahaaWee ushamuona kwa ukaribu Angela?
Hata Mie ninge ishia kumhamisha sio kumtumbua!
HahaWeupe na uzuri wake ndicho kinamponza. Si ujaua Msukuma na Wanawake weupe ni kama Kumbikumbi na mvua
She is just incapable! Kuna mabaki ya wale waliobebwa tangu awamu ya 4, ambao ukiwaangalia utendaji wao hauna tija, hauna ubunifu, hawajiongezi! FINITO!View attachment 990417
Wizara ya madini haijawahi kumwacha mtu salama. Je, ni waziri gani mwingine aliwahi kuhamishwa toka wizara ya madini kama si kutumbuliwa?
Kairuki ndani ya miaka 3:
Desemba 2015- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
Octoba 2017- Waziri wa Madini
Januari 2019- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Uwekezaji.
Je, anahamishwa kama promotion au demotion?
Mwanzoni aliunganisha wizara na zingine kuzifuta ili kupunguza ukubwa na gharama lakini sasa hivi zinaundwa mpya ili watu wapate TEUZI!
Huyu mrembo nadhani roho nzuri ndiyo inamdhuru. Hata akijitahidi awe kama Ndugai hawezi.View attachment 990417
Wizara ya madini haijawahi kumwacha mtu salama. Je, ni waziri gani mwingine aliwahi kuhamishwa toka wizara ya madini kama si kutumbuliwa?
Kairuki ndani ya miaka 3:
Desemba 2015- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
Octoba 2017- Waziri wa Madini
Januari 2019- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Uwekezaji.
Je, anahamishwa kama promotion au demotion?
Mwanzoni aliunganisha wizara na zingine kuzifuta ili kupunguza ukubwa na gharama lakini sasa hivi zinaundwa mpya ili watu wapate TEUZI!
Mimi nimetuma ya kumpongeza na kumpenda kwa kazi nzuriKikubwa tu usitume SMS kwenye namba ya Mh Angela Kairuki
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatari sanaKikubwa tu usitume SMS kwenye namba ya Mh Angela Kairuki
Nimecheka sana aisee Rais tumepata safari hii mpka msg za mapenzi anafuatiliaHii mbinu nilikuwa siijui, JPM amenifundisha leo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Weupe na uzuri wake ndicho kinamponza. Si ujaua Msukuma na Wanawake weupe ni kama Kumbikumbi na mvua
Unamuongelea mkuu Wa Kisarawe au....Weupe na uzuri wake ndicho kinamponza. Si ujaua Msukuma na Wanawake weupe ni kama Kumbikumbi na mvua
View attachment 990417
Wizara ya madini haijawahi kumwacha mtu salama. Je, ni waziri gani mwingine aliwahi kuhamishwa toka wizara ya madini kama si kutumbuliwa?
Kairuki ndani ya miaka 3:
Desemba 2015- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
Octoba 2017- Waziri wa Madini
Januari 2019- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Uwekezaji.
Je, anahamishwa kama promotion au demotion?
Mwanzoni aliunganisha wizara na zingine kuzifuta ili kupunguza ukubwa na gharama lakini sasa hivi zinaundwa mpya ili watu wapate TEUZI!
Wee ushamuona kwa ukaribu Angela?
Hata Mie ninge ishia kumhamisha sio kumtumbua!
Anaenda kuweka mipango then anahama..View attachment 990417