Nini kinamsibu Waziri Angela Kairuki? Miaka 3 Wizara 3!

Nini kinamsibu Waziri Angela Kairuki? Miaka 3 Wizara 3!

Wengi wanatumbuliwa yeye anahamishwa tu labda ni spy.!
Huyo hana uspy wowote sema ni mshauri mzuri wa jiwe,Ndio aliyemshauri jiwe afukuze madereva wa darasa la saba,wenye vyeti feki ili wachukue mishahara yao wanunulie ndege,akamwambia jiwe akinunua ndege atapata sifa sana.
 
Hoyo mama namkubali sana.
Kwanza ni mzuri halafu hana dharau na mtu zaidi ya uadilifu wake na kufanya kazi kitaaluma bila maneno mengi.

Angefaa kuwa Makamu wa Rais 2025 endapo CCM itarudi madarakani kwa kumsimamisha Mzanzibari.

Anafaa sana kuwa waziri.
Chapa kazi bila kuchoka mama ,mh.Rais amekuamini.


Sent using Jamii Forums mobile app
Ulishawahi kuona kiinglishi chake wakati anafanya kazi chemba moja ya Sheria, kuna document iliwahi wekwa humu itafute upate uhondo.
 
Wee ushamuona kwa ukaribu Angela?

Hata Mie ninge ishia kumhamisha sio kumtumbua!
Mkuu naumbuka nilionana nae pale peacock hotel kwenye maadhimisho ya mwaka mmoja baada ya kifo cha Regia Mtema hakika kwenye hadhara ile nilipata masoneno sana ya moyo kiasi cha kujuta kuwa pale..
Nadhani @figganiga na @lara1 watakuwa mashahidi walikuwepo sikuile.
 
View attachment 990417
Wizara ya madini haijawahi kumwacha mtu salama. Je, ni waziri gani mwingine aliwahi kuhamishwa toka wizara ya madini kama si kutumbuliwa?

Kairuki ndani ya miaka 3:

Desemba 2015- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.

Octoba 2017- Waziri wa Madini

Januari 2019- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Uwekezaji.

Je, anahamishwa kama promotion au demotion?

Mwanzoni aliunganisha wizara na zingine kuzifuta ili kupunguza ukubwa na gharama lakini sasa hivi zinaundwa mpya ili watu wapate TEUZI!
Vingine havifai kujadili hapa... Wanachungulia
tapatalk_1545605978560.jpeg


Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom