Nini kinamsibu Waziri Angela Kairuki? Miaka 3 Wizara 3!

Nini kinamsibu Waziri Angela Kairuki? Miaka 3 Wizara 3!

Maelezo ya rais jana kuhusu sababu za kumteua Dotto Biteko na madhaifu makubwa ya wizara aliyomtea talionesha wazi waziri aliyekuwepo alishindwa kabisa kazi kwamba hakuwa mbunifu na alishindwa kusimamia kabisa wizara yake. Lakini la ajabu pamoja na kushindwa huko badala ya kupigwa kalamu amepewa wizara nyingine tena mpya! Hapo sijaelewa kuna nini?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jifanye wewe mteuzi ile rangi haupendi kuiona kila wakati ikikupa mgongo
 
Same Magharibi mkuu.
Ninaowajua watakaoomba kuteuliwa hapo mpaka sasa wapo kama watono
-Matayo
-Kitanda
-Kuna prof mmoja
-Kuna Eng mmoja
-Kuna Mfanyabiashara mmoja

Hao sijawataja kwa sababu maalum, kumbe naye yumo, safi ushindani utakuwa mzuri, nipo tayari kumpigia kampeni
 
Hao wengine wana rangi ya mtume?[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom