Nini kinamsibu Waziri Angela Kairuki? Miaka 3 Wizara 3!

Nini kinamsibu Waziri Angela Kairuki? Miaka 3 Wizara 3!

Katika Mawaziri nilioona na mizigo japo Mjomba hataki kuwatoa ni Angela Kairuki,Jenista Muhagama, na Naibu Waziri Juliana Shonza
Umepatia sana.......hii ni list ya mawaziri wanaosafiria nyota ya jinsia ya kike na kauli mbiu yao ya "wanawake tunaweza" hamna kitu pale.....zile namba zote ni chenga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simfahamu huyu mama; nimemsikiliza kwa mara ya Kwanzaa wakati wa kashfa ya Tegeta escrow. Hakunivutia!
 
View attachment 990417
Wizara ya madini haijawahi kumwacha mtu salama. Je, ni waziri gani mwingine aliwahi kuhamishwa toka wizara ya madini kama si kutumbuliwa?

Kairuki ndani ya miaka 3:

Desemba 2015- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.

Octoba 2017- Waziri wa Madini

Januari 2019- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Uwekezaji.

Je, anahamishwa kama promotion au demotion?

Mwanzoni aliunganisha wizara na zingine kuzifuta ili kupunguza ukubwa na gharama lakini sasa hivi zinaundwa mpya ili watu wapate TEUZI!
Huwezi kumtupa huyu mwanamama alitimiza kazi nzuri kwenye uhakiki wa watumishi hewa!
 
Watz tulio wengi hadi huku vijini Lituhi Mbinga, Mbambala Muheza, Chinyamihe Hombolo, Mulyaza Butiama hadi vijiji vya ulaya eg Jandelangen Denmark tunajua kuwa rangi na urembo wa mdada unaweza leta shida ktk uongozi ndo maana wazuñgu hawapendi kuweka majitu mahunihuni ktk uongoz hata kwa level ya m/kiti wa mtaa sasa huku bongo diwani tu anataka kujimilikisha mademu wa kata nzima
 
Naona wote mnakwepa kumjibu mtoa mada. Tuangalie tatizo ni utendaji wa waziri au ni aliemteua kushindwa kumwajibisha kama yapo mapungufu.
 
View attachment 990417
Wizara ya madini haijawahi kumwacha mtu salama. Je, ni waziri gani mwingine aliwahi kuhamishwa toka wizara ya madini kama si kutumbuliwa?

Kairuki ndani ya miaka 3:

Desemba 2015- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.

Octoba 2017- Waziri wa Madini

Januari 2019- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Uwekezaji.

Je, anahamishwa kama promotion au demotion?

Mwanzoni aliunganisha wizara na zingine kuzifuta ili kupunguza ukubwa na gharama lakini sasa hivi zinaundwa mpya ili watu wapate TEUZI!
Angefaa kupewa waziri asiye na wizara maalum
 
Back
Top Bottom