Hao wanaume wa ndoa ndo wanakula mabinti wa rika letu na sisi tunakula wake zao, tunabadilishana bidhaa kwa bidhaa ko hakuna tatizo kabisaKwani si mwakule.wa rika lenu.
Mtakuja fumaniwa mbakwe bure kwa wake wa wenyewe
Kivipi mwanamke kupewa utamu kwa hiyari yake na kijana awe mdogo au mzee iwe ni kujidhalilisha?Kujihisi hapendwi ndani, wengi huwa wanaishia kutafuta validation kwa vijana wadogo ili ajione bado yuko sokoni, kumbe anajidhalilisha.
Kama umeingia kwenye ndoa kwa hiari yako, huwezi kudai una hiari ya kuivunja kisiri.Kivipi mwanamke kupewa utamu kwa hiyari yake na kijana awe mdogo au mzee iwe ni kujidhalilisha?
Wa rika letu wanataka wababa juu hatuwezi nunulia wao iphone 17Kwani si mwakule.wa rika lenu.
Mtakuja fumaniwa mbakwe bure kwa wake wa wenyewe
Ndio. Uchepukaji wa waume zao ndio Tuition!Kumbe