Nini kinasababisha baadhi ya wanawake walioko kwenye ndoa kuchepuka na vijana wadogo?

Nini kinasababisha baadhi ya wanawake walioko kwenye ndoa kuchepuka na vijana wadogo?

Tafuteni hobbies----mi sitawaambia kila kitu!
 
Vita na Visasi vya Mapenzi, vimejaa Miongoni mwa Wanandoa wengi..Matukio yanatisha
 
Mnaweza kujikuta mnamlaumu Samia na CCM kumbe jamii yote imeoza kuanzia chini mpaka juu.
 
Mnaweza kujikuta mnamlaumu Samia na CCM kumbe jamii yote imeoza kuanzia chini mpaka juu.
Kuna part kubwa wanacheza katika uharibifu huu na kitu kibaya wanahisi wanafaidika na hii hali kumbe wanakalia a time bomb.
 
Wanaume hamna uvumilivu wowote msingeuza ubingwa..!!

Tena mlivyo hampendani mnatakana wenyewe kwa wenyewe ili kukomoana.!!
Ukiona kauza ubingwa
Huyo sio mwanaume
Hana tofauti na wewe uliye singizia
Ugumu wa maisha na familia
 
Sasa hapa samia kafikaje
Ni hivi.

Watu wengi wanalaumu uongozi wa juu wa nchi wa kisiasa. Kama uongozi unaelea tu hapo juu bila kutoka katika jamii.

Wanalaumu Samia kaiba uchaguzi, kaua watu. Simtetei Samia. Samia is a piece of shit. Naelezea hali halisi tu.

Wanalaumu uonhizinwa juu.Wakati yule Samia hakufika kuwa hivyo ghafla bin vuu.

Kakua katika familia, kama jamii ina familia zenye maadili mabovu, kaanza kuona tangu mtoto. Baba ana cheat, mama ana cheat. Familia hazina maadili.

Leo Samia anawachamba kwa maneno ya shombo kama muimba taarabu za mipasho, ndicho alichozoea katika jamii yake isiyo na maadili.

Akajifunza kwamba hizi habari za maadili, haki, tabia njema, ni mambo ya kuhubiri tu, kiuhalisia Watanzania hatuishi hivyo.

Akapenyapenya mpaka kawa rais, na yeye kashajifunza kuwa ku cheat ni kawaida, ana cheat kuiba uchaguzi ashinde kwa asilimia 98, halafu anahubiri demokrasia, haki, maridhiano.

Ndiyo nikasema, Watanzania wanaweza kulaumu wanasiasa wana cheat, wanakula rushwa, kumbe hizi ni tabia ambazo zipo kwenye jamii nzima.

Na pengine watu wengi sana wana cheat, ila kama alivyosema Samia, kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake.

Sasa anayekula kwa kamba ya urefu wa familia haonekani sana kama anayekula kwa kamba ya urwfu wa nchi nzima.

Ndiyo maana viongozi wa siasa wanaoongoza mamilioni ya watu waki cheat watu wengi wanaona inakuwa big deal.

Lakini hata kwenye familia Watanzania wengi wako hivyo, hawana maadili, wana cheat cheat tu.

Ndiyo nikasema tunaweza kumlaumu sana Samia, lakini kiukweli yeye anaonekana sana kwa sababu yupo juu tu pale, ila hii tabia ya kukosa maadili inaonekana ni tabia ya Watanzania wengi.

Na pengine hatuwezi kuepuka matatizo ya uongozi mbovu wa kisiasa kitaifa kama mambo ya kukosa maadili yanaanza tangu kwenye familia.

Umeelewa hapo au bado tia maji tia maji?
 
Sifa ya mwanaume ni nini? Nijibu hapo kwanza kisha tuendelee..!!
Kwenye angle ipi?
Jinsi
Jinsia
Ndevu
Uchumi
Akili
Focus
Misuli
Misimamo
Desturi
Misimamo
Uvumilivu
Mikazo
Dezo

Mama wa latifa
 
Kila mwana JF awe makini na maisha yake.Kuzifuata komenti za kishabiki bila kutumia akili unapotea.
 
Wanawake wa kwenye ndoa huenda wanaongoza kwa kuchepuka

Yaani kama wewe ni una mchepuko wa kiume jitahidi sana kutumia condoms.

Wanaume wanawake zenu wanachepuka. Kuweni makini na kwenye hayo magroup yao ya wanawake hali ni mbaya

Unamkuta mtu anaomba ushauri kabisa "nataka nichepuke kisa mume kasaliti"

Na anampea kijana mdogo kabisa

Ni huzuni
Ukishaoa malaya unategemea nini, siyo kila mwanamke anafaa kuwa mke
 
Kitu cha muhimu ni kulea watoto mtu ukianza kumchunguza hakuna ndoa
 
Back
Top Bottom