Nafkiri ni muda sasa kila mtu asiingilie uhuru wa kiungo cha mwenzakeas long hawatumii kiungo chako hebu acha kelele
Nafikiri uzi unahusu kuchepuka kwa wana ndoa.Wanaume mkiacha kuendekeza ngono jamii itakuwa salama..!
Wanaume wengi mnatumia ushawishi wa kifedha ili kuzini na mtu..
Binti anahitaji msaada wa kazi lakini mwanaume ataingiza tamaa zake za kingono.. hapo binti anatazama maisha magumu kweli aikose kazi? Anaamua kutoa penzi ili afanikiwe. Lakini kama mngekuwa mnasaidia bila kuhitaji penzi kusingekuwa na mambo ya uchepukaji..!!
Mkuu unaonekana busara ni mingi sanaCheating is a character flaw,not a gender trait,
Betrayal hurts the same no matter who does it,
And honest matters equally for both men and woman.
kabisaaaNafkiri ni muda sasa kila mtu asiingilie uhuru wa kiungo cha mwenzake
Nimejibu kutokana na comment yako ulivyosema mwanaume anatumia pesa..!!Nafikiri uzi unahusu kuchepuka kwa wana ndoa.
Sema wanawake waache tamaa ikiwemo kutaka pesa au kazi kwa kubebwa, huwezi kumlaumu paka kula mboga wakati chungu hakijafunikwa.Wanaume mkiacha kuendekeza ngono jamii itakuwa salama..!
Wanaume wengi mnatumia ushawishi wa kifedha ili kuzini na mtu..
Binti anahitaji msaada wa kazi lakini mwanaume ataingiza tamaa zake za kingono.. hapo binti anatazama maisha magumu kweli aikose kazi? Anaamua kutoa penzi ili afanikiwe. Lakini kama mngekuwa mnasaidia bila kuhitaji penzi kusingekuwa na mambo ya uchepukaji..!!
Kwanini nyie msiwasaidie bila kutumia fedha au rushwa ya ngono?Sema wanawake waache tamaa ikiwemo kutaka pesa au kazi kwa kubebwa, huwezi kumlaumu paka kula mboga wakati chungu hakijafunikwa.
Kuna kitu lamonyKwanini nyie msiwasaidie bila kutumia fedha au rushwa ya ngono?
Huwezi kumtega paka mwenye njaa kwa kumuwekea samaki..!!
Comment yangu namba 36# uliyoiquote wala sijataja neno Pesa kabisa!Nimejibu kutokana na comment yako ulivyosema mwanaume anatumia pesa..!!
Sijataje neno pesa kabisa kwenye comment yangu,Soma tena comment yangu.
Hizo fedha ndio sababu ya uchepukaji wenyewe..!!
Bila shaka itakua umeniquote kimakosa coz hayo unayo yasema hapa wala hayapo kwenye comment yangu.Wewe umetetea jinsia yako kwa kuipamba kwamba mnatumia rasilimali fedha kutongoza.. hivyo ni ngumu mwanamke kukataa sababu uhitaji wa fedha ni mkubwa..!!
Haya maneno unanilisha tu wala sijayasema,Point yangu kwanini msiache kushawishi kupata ngono kwa kutumia fedha ili kila mmoja abaki na mke wake mmoja..!
Point yangu isome tena kwenye Comment 36#Nyie mkikataa kuwatumia hakuna mwanamke atachepuka..!!
Unaujua ugumu wa maisha lakini?Kuna kitu lamony
Mwanamke ni opportunist
Mwanamke yupo tayari kufanya chochote ili atimize lengo lake.
Huyu paka mwenye njaa, akitegewa samaki na akila, basi ni paka shume.
Na paka shume ni haki yake kuliwa kwa kupokea, kukaangwa, kubanikwa, tena anapaswa haliwe mpaka mfupa.
Wafundisheni wanawake tamaa ni mbaya, breki zao zikabe bila hivyo waache kufanya kama wameshawishiwa
Hii kasumba ya wanaume kujipa uhalali wa kuchepuka ni kutokana na uwekezaji ambao mwanaume anaufanya. Kuanzia mahusiano yanapoanza mwanaume anabebeshwa gharama zote. Hii inamtengenezea mawazo kwamba yeye ni mmliki wa hayo mahusiano. Ni kama boss akikosea hauwezi kumrekebisha lakini mfanyakazi ukikosea boss anaweza kukufukuza kazi.
Wanawake kama wanataka uhuru wa kuchepuka, kuvunja mahusiano muda watakajisikia au kuwa na uhalali wa kumwajibisha mwanaume basi wanatakiwa kwanza kuondoka kwenye hii trend ya relationship commercialization walioikumbatia. Pendaneni kutoka moyoni, fanyeni sex kama starehe tu bila mmoja kujiona ana haki ya kumcharge mwenzake. Hakuna mwanaume anaweza kujipa uhalali wa kuku-control wewe au mahusiano yenu ikiwa hajawahi kukugharamia chochote. Lakini kama wanawake wataka kuendelea kupata hela au huduma kutoka kwa mwanaume wanatakiwa kujua kwamba wanauza uhuru wao.
Wanaume wenyewe kwenye Ndoa ndio hawa wanashinda Pombe na kulialia Pombe unadhani wanaweza nini zaidi ya kukoroma Tu kama mang'ombeWanawake wa kwenye ndoa huenda wanaongoza kwa kuchepuka
Yaani kama wewe ni una mchepuko wa kiume jitahidi sana kutumia condoms.
Wanaume wanawake zenu wanachepuka. Kuweni makini na kwenye hayo magroup yao ya wanawake hali ni mbaya
Unamkuta mtu anaomba ushauri kabisa "nataka nichepuke kisa mume kasaliti"
Na anampea kijana mdogo kabisa
Ni huzuni
Sisi wanaume tunapitia magumu mengi na tunavumilia.Unaujua ugumu wa maisha lakini?
Una familia?
Kama mwanaume anateseka kupata kazi vipi kwa mwanamke?
Sasa mwanamke ana familia inamtegemea na hiyo kazi inamtaka kutoa utramu unafikiri ataacha?
Mbona wanaume mnaiba na kuuza sembe maisha yakiwakalia kooni. Kwanini kwa mwanamke asifanye hivyo?
Hapo inatakiwa mtoe msaada bila ya mitego yenu ya kipuuzi ili tupate jamii salama. Mwanamke aamue mwenyewe kujidhalilisha na sio kupitia matatizo yake..!!
Wanaume hamna uvumilivu wowote msingeuza ubingwa..!!Sisi wanaume tunapitia magumu mengi na tunavumilia.
Uvumilivu ndio njia ya muhimu na sio kutoa mwili wake paka la baa.
Nakukumbusha Kuna watu wawili tu huwa hawakosi sababu kwa nini wamefanya kitu Fulani:
1)Malaya
2)Mfungwa
3)Mchawi