Nini kinasababisha baadhi ya wanawake walioko kwenye ndoa kuchepuka na vijana wadogo?

Nini kinasababisha baadhi ya wanawake walioko kwenye ndoa kuchepuka na vijana wadogo?

Kitendo cha kuzungumzia UBAYA wa jinsia ya kike kusaliti while sababu iko wazi ni mwanaume alianza hizo mambo sio fair (Japo sisapoti usaliti)

Halafu ... waume za watu kutwa humu ndani wanaandika kuhusu wao kuvizia vitoto vya 2008, si ni sawa tu wanawake wakifanya same thing?

Ama unataka kusema mwanaume pekee ndiye mwenye haki ya kusaliti na kufanya yote hayo?

Ni huzuni kweli kweli kama unafikiria hivyo
 
Mwanamke kugawa/Kuliwa nje ya ndoa kisa mwanaume wake amemsaliti nao ni ujinga tu,the same applies to the Males,

Huwezi kuutumia mwili wako ili umkomeshe mtu mwingine,huu ni ukichaa wa hali ya juu sana,using your own body to punish a cheating spouse is ultimately Self destructive,


Msaliti hua hasamehewi,ukiona mumeo amekusaliti na unao ushahidi usio kua na shaka,achana nae kaanze maisha yako kwa amani.
 
Kitendo cha kuzungumzia UBAYA wa jinsia ya kike kusaliti while sababu iko wazi ni mwanaume alianza hizo mambo sio fair (Japo sisapoti usaliti)

Halafu ... waume za watu kutwa humu ndani wanaandika kuhusu wao kuvizia vitoto vya 2008, si ni sawa tu wanawake wakifanya same thing?

Ama unataka kusema mwanaume pekee ndiye mwenye haki ya kusaliti na kufanya yote hayo?

Ni huzuni kweli kweli kama unafikiria hivyo
Hii kasumba ya wanaume kujipa uhalali wa kuchepuka ni kutokana na uwekezaji ambao mwanaume anaufanya. Kuanzia mahusiano yanapoanza mwanaume anabebeshwa gharama zote. Hii inamtengenezea mawazo kwamba yeye ni mmliki wa hayo mahusiano. Ni kama boss akikosea hauwezi kumrekebisha lakini mfanyakazi ukikosea boss anaweza kukufukuza kazi.

Wanawake kama wanataka uhuru wa kuchepuka, kuvunja mahusiano muda watakajisikia au kuwa na uhalali wa kumwajibisha mwanaume basi wanatakiwa kwanza kuondoka kwenye hii trend ya relationship commercialization walioikumbatia. Pendaneni kutoka moyoni, fanyeni sex kama starehe tu bila mmoja kujiona ana haki ya kumcharge mwenzake. Hakuna mwanaume anaweza kujipa uhalali wa kuku-control wewe au mahusiano yenu ikiwa hajawahi kukugharamia chochote. Lakini kama wanawake wataka kuendelea kupata hela au huduma kutoka kwa mwanaume wanatakiwa kujua kwamba wanauza uhuru wao.
 
Wanaume mkitaka usaliti uishe basi anzeni kuacha usaliti kwanza nyie mtaona mambo yananyooka vizuri tu.
Mwanaume ndio hua anatongoza,
So,kuchepuka kwa mwanaume kuna tegemeana na ombi lake kwa mwanamke anayemtongoza kama atakubaliwa,
Kwa hali hii nafikiri Mwanamke ndiye mwenye nafasi nzuri zaidi au kubwa zaidi ya kukomesha uchepukaji,Wanawake wakiacha kugawa,mwanaume hawezi kuchepuka,ni issue ya Demand ana supply,
Supply ikiwepo basi lazima kuakua na demand.
 
Kitendo cha kuzungumzia UBAYA wa jinsia ya kike kusaliti while sababu iko wazi ni mwanaume alianza hizo mambo sio fair (Japo sisapoti usaliti)

Halafu ... waume za watu kutwa humu ndani wanaandika kuhusu wao kuvizia vitoto vya 2008, si ni sawa tu wanawake wakifanya same thing?

Ama unataka kusema mwanaume pekee ndiye mwenye haki ya kusaliti na kufanya yote hayo?

Ni huzuni kweli kweli kama unafikiria hivyo
Cheating is a character flaw,not a gender trait,
Betrayal hurts the same no matter who does it,
And honest matters equally for both men and woman.
 
Mwanaume ndio hua anatongoza,
So,kuchepuka kwa mwanaume kuna tegemeana na ombi lake kwa mwanamke anayemtongoza kama atakubaliwa,
Kwa hali hii nafikiri Mwanamke ndiye mwenye nafasi nzuri zaidi au kubwa zaidi ya kukomesha uchepukaji,Wanawake wakiacha kugawa,mwanaume hawezi kuchepuka,ni issue ya Demand ana supply,
Supply ikiwepo basi lazima kuakua na demand.
Wanaume mkiacha kuendekeza ngono jamii itakuwa salama..!

Wanaume wengi mnatumia ushawishi wa kifedha ili kuzini na mtu..

Binti anahitaji msaada wa kazi lakini mwanaume ataingiza tamaa zake za kingono.. hapo binti anatazama maisha magumu kweli aikose kazi? Anaamua kutoa penzi ili afanikiwe. Lakini kama mngekuwa mnasaidia bila kuhitaji penzi kusingekuwa na mambo ya uchepukaji..!!
 
Back
Top Bottom