Nini kinasababisha baadhi ya wanawake walioko kwenye ndoa kuchepuka na vijana wadogo?

Nini kinasababisha baadhi ya wanawake walioko kwenye ndoa kuchepuka na vijana wadogo?

Sababu ni nyingi mno 😂. Ila vijana wa siku hizi wana viherehere 😂 wanatongoza wenyewe sasa ukiongezea shida zako unazopambana nazo kukicha, unajikuta tu, ila ni bahati mbaya 🙃
 
Mkikaa kwenye ndoa mnazoeana mnakuwa mnapeana kimazoea, hata sisi wanaume tuu.
 
Hayo makundi ya watu wanao ombaga ushauri wa kuchepuka mnayapataga wapi?
Wanaume wao hawana makundi sogozi ya kutafutiana mademu?
 
Back
Top Bottom