Nini kinasababisha baadhi ya wanawake walioko kwenye ndoa kuchepuka na vijana wadogo?

Nafikiri uzi unahusu kuchepuka kwa wana ndoa.
 
Mwanaume ukiwa bisy kutafutia nyumbani, anaoona kama huna muda naye na humjali na hapo akikutana na kijana ambaye atampa attention tu anaschia tobo.

ILa ajabu sasa ukipunguza mitikasi ya pesa, ili uwe karibu naye. Pesa ikiwa haipo sababu hujitumi sana, napo atakudharau na kutoa nje kisa pesa.

K.......miyake, sijui wanataka kipi hasa. Hawana tofauti na busha ndani ya msuli. Ukipeleka kulia maumivu, kushoto maumivu na ukiliweka kati linaonekana na hutaki walione
 
Kuna kishangaz kimoja nakiwinda hapa mtaani kina kishundu cha mbali nakitaftia timing kwa vizawadi na maneno matam kashaanza kunipa stori za ndani kwake
 
Nafikiri uzi unahusu kuchepuka kwa wana ndoa.
Nimejibu kutokana na comment yako ulivyosema mwanaume anatumia pesa..!!

Soma tena comment yangu.
Hizo fedha ndio sababu ya uchepukaji wenyewe..!!

Wewe umetetea jinsia yako kwa kuipamba kwamba mnatumia rasilimali fedha kutongoza.. hivyo ni ngumu mwanamke kukataa sababu uhitaji wa fedha ni mkubwa..!!

Point yangu kwanini msiache kushawishi kupata ngono kwa kutumia fedha ili kila mmoja abaki na mke wake mmoja..!

Nyie mkikataa kuwatumia hakuna mwanamke atachepuka..!!
 
Sema wanawake waache tamaa ikiwemo kutaka pesa au kazi kwa kubebwa, huwezi kumlaumu paka kula mboga wakati chungu hakijafunikwa.
 
Sema wanawake waache tamaa ikiwemo kutaka pesa au kazi kwa kubebwa, huwezi kumlaumu paka kula mboga wakati chungu hakijafunikwa.
Kwanini nyie msiwasaidie bila kutumia fedha au rushwa ya ngono?

Huwezi kumtega paka mwenye njaa kwa kumuwekea samaki..!!
 
Shida iko wapi, ww mtoa mada upuuzwe kwanza ulisema kama sio babamkwe kua na kisukari ungempa utamu.
 
Kwanini nyie msiwasaidie bila kutumia fedha au rushwa ya ngono?

Huwezi kumtega paka mwenye njaa kwa kumuwekea samaki..!!
Kuna kitu lamony
Mwanamke ni opportunist
Mwanamke yupo tayari kufanya chochote ili atimize lengo lake.

Huyu paka mwenye njaa, akitegewa samaki na akila, basi ni paka shume.

Na paka shume ni haki yake kuliwa kwa kupokea, kukaangwa, kubanikwa, tena anapaswa haliwe mpaka mfupa.

Wafundisheni wanawake tamaa ni mbaya, breki zao zikabe bila hivyo waache kufanya kama wameshawishiwa
 
Nimejibu kutokana na comment yako ulivyosema mwanaume anatumia pesa..!!
Comment yangu namba 36# uliyoiquote wala sijataja neno Pesa kabisa!
Soma tena comment yangu.
Hizo fedha ndio sababu ya uchepukaji wenyewe..!!
Sijataje neno pesa kabisa kwenye comment yangu,
Wewe umetetea jinsia yako kwa kuipamba kwamba mnatumia rasilimali fedha kutongoza.. hivyo ni ngumu mwanamke kukataa sababu uhitaji wa fedha ni mkubwa..!!
Bila shaka itakua umeniquote kimakosa coz hayo unayo yasema hapa wala hayapo kwenye comment yangu.
Point yangu kwanini msiache kushawishi kupata ngono kwa kutumia fedha ili kila mmoja abaki na mke wake mmoja..!
Haya maneno unanilisha tu wala sijayasema,
Nyie mkikataa kuwatumia hakuna mwanamke atachepuka..!!
Point yangu isome tena kwenye Comment 36#
 
Unaujua ugumu wa maisha lakini?
Una familia?

Kama mwanaume anateseka kupata kazi vipi kwa mwanamke?

Sasa mwanamke ana familia inamtegemea na hiyo kazi inamtaka kutoa utramu unafikiri ataacha?

Mbona wanaume mnaiba na kuuza sembe maisha yakiwakalia kooni. Kwanini kwa mwanamke asifanye hivyo?

Hapo inatakiwa mtoe msaada bila ya mitego yenu ya kipuuzi ili tupate jamii salama. Mwanamke aamue mwenyewe kujidhalilisha na sio kupitia matatizo yake..!!
 
Loh! Kwa hiyo sasa hivi mmehama kwenye justification yenu kwamba mwanaume haridhiki na mwanamke mmoja mmekuja kwenye umiliki wa kimatunzo?

Okay...
 
Wanaume wenyewe kwenye Ndoa ndio hawa wanashinda Pombe na kulialia Pombe unadhani wanaweza nini zaidi ya kukoroma Tu kama mang'ombe
 
Sisi wanaume tunapitia magumu mengi na tunavumilia.
Uvumilivu ndio njia ya muhimu na sio kutoa mwili wake paka la baa.

Nakukumbusha Kuna watu wawili tu huwa hawakosi sababu kwa nini wamefanya kitu Fulani:

1)Malaya
2)Mfungwa
3)Mchawi
 
Wanaume hamna uvumilivu wowote msingeuza ubingwa..!!

Tena mlivyo hampendani mnatakana wenyewe kwa wenyewe ili kukomoana.!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…