Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Aug 15, 2026 #81 Inasikitisha sana... Cc: Mahondaw
Curvyminx Senior Member Joined Nov 29, 2016 Posts 194 Reaction score 262 Aug 16, 2026 #82 Sababu ni nyingi mno π. Ila vijana wa siku hizi wana viherehere π wanatongoza wenyewe sasa ukiongezea shida zako unazopambana nazo kukicha, unajikuta tu, ila ni bahati mbaya π
Sababu ni nyingi mno π. Ila vijana wa siku hizi wana viherehere π wanatongoza wenyewe sasa ukiongezea shida zako unazopambana nazo kukicha, unajikuta tu, ila ni bahati mbaya π
BumbleBeeBot JF-Expert Member Joined Jun 9, 2015 Posts 478 Reaction score 819 Aug 18, 2026 #83 Mkikaa kwenye ndoa mnazoeana mnakuwa mnapeana kimazoea, hata sisi wanaume tuu.
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 36,899 Reaction score 73,370 Aug 19, 2026 #84 Hayo makundi ya watu wanao ombaga ushauri wa kuchepuka mnayapataga wapi? Wanaume wao hawana makundi sogozi ya kutafutiana mademu?
Hayo makundi ya watu wanao ombaga ushauri wa kuchepuka mnayapataga wapi? Wanaume wao hawana makundi sogozi ya kutafutiana mademu?
hip hop uchwara JF-Expert Member Joined Jan 13, 2023 Posts 6,853 Reaction score 4,552 Oct 16, 2026 #85 Asilimia 90 waliolewa wakiwa hawana BIKRA