realMamy
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 7,450
- 19,184
Kuna baadhi ya watu wazima matendo Yao hayafanani na umri wao.
Watu hao ni Viongozi wa familia,kanisani, serikalini na katika maeneo mengine.
Wamekuwa wakifanya mambo ya hovyo tofauti na umri wao kuanzia namna wanavyozungumza hata katika matendo Yao.
Mfano Mtu mzima na akili zake unayetarajia akusaidie hata kwa ushauri lakini anaishia kuomba ngono. Inakata sana hii.
Mtu mzima mwingine unamuomba ushauri,lakini kabla ya kukusaidia anaenda kutangaza. Inauma sana.
Lakini hata lugha zao zinakatisha tamaa.
Hili limekuwa likinishangaza sana,nini husababisha haya yote? Ni kwamba wamegoma kukua au shida ni malezi.
Watu tunaowatarajia wasaidie vijana na taifa kusonga mbele lakini matendo Yao hayaridhishi.
Tunawasaidiaje? Au tunafanyaje?