ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Hakunaaaaa😅Usikute na wewe kuna watu wanakuona mzee.
Hakunaaaaa😅Usikute na wewe kuna watu wanakuona mzee.
Lakini si huwa mnasemaga ng’ombe hazeeki maini!Kama mzee wa miaka 80 anaendeleza ngono unadhani hizo ni akili za kiutu uzima? Kuna hekima na busara hapo kweli?
Hahahaa sawa nimekuewa dadaakeIfanyie uchunguzi upate abc utajua pa kuanzia.
Hapa nakupa Siri kidogo nisije popolewa na kina madam.
Hapa nakupa mfano labda wizara ya michezo inapokea ugeni wa afcon.
Hapo Kuna maandalizi makubwa na mengi yanatakiwa kufanyika.
Mfano wageni watafikia wapi? Kula , kusafiri speech na mengineyo.
Sasa wewe unatinga wizarani huko na na what you can offer.
Wizara nyingi zinafanya kazi na watu Tena kama mama Jenista alikuwa poa sana.
Ukitaka kuweza hii punguza umbea in mange's voice anza kufatilia hiyo mikutano mikubwa jifunze jinsi ya kundaa venue.
Na kwenye hii madame pressidaa hana upendeleo.
We mchina achana nae labda kama unataka kuozea segerea ukawe chakula ya bwana jela
Hiyo misemo ya watu wa hovyo tu mkuu! Kuna age mtu ukifika unaweka silaha chini na kusubiri ahadi za Mungu.Lakini si huwa mnasemaga ng’ombe hazeeki maini!
Dahh basi wazee wengi wako hivyo na hawana hata haya!Hiyo misemo ya watu wa hovyo tu mkuu! Kuna age mtu ukifika unaweka silaha chini na kusubiri ahadi za Mungu.