Emily magnus
JF-Expert Member
- Apr 7, 2026
- 820
- 1,505
Duh! Wakuu mnakesha mpaka kunakucha!!
Siku ya mtihani nilichelewa kufika mana nyeto ya siku hy ilikuwa tamu sana hvy ikanichelewesha 😎Kwanini ufeli la nne bwana mdogo?
Safi ❤️Sawa sichoki😃
Kwahiyo tangu la 4 unapiga nyeto tu 🤔Siku ya mtihani nilichelewa kufika mana nyeto ya siku hy ilikuwa tamu sana hvy ikanichelewesha 😎
Nyeto nimeanza tangu tumboni kwa bimkubwa, kuna siku Dingi alinambia mama alitapika bao wakat akiwa na mimba yangu dingi kwenda kuangalia Yale matapishi akakutana na bao, akajua dogo kalimwaga hukoKwahiyo tangu la 4 unapiga nyeto tu 🤔
Au umevuta bangi mkuu?Nyeto nimeanza tangu tumboni kwa bimkubwa, kuna siku Dingi alinambia mama alitapika bao wakat akiwa na mimba yangu dingi kwenda kuangalia Yale matapishi akakutana na bao, akajua dogo kalimwaga huko
Usikute na wewe kuna watu wanakuona mzee.Hatuwapatii upenyo 😁
Wazee gani hamlali mapema
Huko ma ofsin hamtaki kuachia seat
Ili na sisi tukae 😎
C ndio 😂Au umevuta bangi mkuu?
Hapo sawa!C ndio 😂
Kuna baadhi ya watu wazima matendo Yao hayafanani na umri wao.
Watu hao ni Viongozi wa familia,kanisani, serikalini na katika maeneo mengine.
Wamekuwa wakifanya mambo ya hovyo tofauti na umri wao kuanzia namna wanavyozungumza hata katika matendo Yao.
Mfano Mtu mzima na akili zake unayetarajia akusaidie hata kwa ushauri lakini anaishia kuomba ngono. Inakata sana hii.
Mtu mzima mwingine unamuomba ushauri,lakini kabla ya kukusaidia anaenda kutangaza. Inauma sana.
Lakini hata lugha zao zinakatisha tamaa.
Hili limekuwa likinishangaza sana,nini husababisha haya yote? Ni kwamba wamegoma kukua au shida ni malezi.
Watu tunaowatarajia wasaidie vijana na taifa kusonga mbele lakini matendo Yao hayaridhishi.
Tunawasaidiaje? Au tunafanyaje?
Hebu jichunguze vizuri, usije ukawa wewe ndio chanzo.Kuna baadhi ya watu wazima matendo Yao hayafanani na umri wao.
Watu hao ni Viongozi wa familia,kanisani, serikalini na katika maeneo mengine.
Wamekuwa wakifanya mambo ya hovyo tofauti na umri wao kuanzia namna wanavyozungumza hata katika matendo Yao.
Mfano Mtu mzima na akili zake unayetarajia akusaidie hata kwa ushauri lakini anaishia kuomba ngono. Inakata sana hii.
Mtu mzima mwingine unamuomba ushauri,lakini kabla ya kukusaidia anaenda kutangaza. Inauma sana.
Lakini hata lugha zao zinakatisha tamaa.
Hili limekuwa likinishangaza sana,nini husababisha haya yote? Ni kwamba wamegoma kukua au shida ni malezi.
Watu tunaowatarajia wasaidie vijana na taifa kusonga mbele lakini matendo Yao hayaridhishi.
Tunawasaidiaje? Au tunafanyaje?
astahfulillah!! Mkuu 3 zako.Nyeto nimeanza tangu tumboni kwa bimkubwa, kuna siku Dingi alinambia mama alitapika bao wakat akiwa na mimba yangu dingi kwenda kuangalia Yale matapishi akakutana na bao, akajua dogo kalimwaga huko
Mfano kukataa ndoa alafu UNATAKA mwanao awe na maadili yatokanayo na malezi ya ndoaniUnamaanisha nini ukisema "akili za kitoto"?
Kama mzee wa miaka 80 anaendeleza ngono unadhani hizo ni akili za kiutu uzima? Kuna hekima na busara hapo kweli?Silikumbuki, kufia guest na kuwa na akili za kitoto vinahusiana?
Njaa ndio tatizo kubwa hasa wale waliowahi kuugua kwashakoo utotoniKuna baadhi ya watu wazima matendo Yao hayafanani na umri wao.
Watu hao ni Viongozi wa familia,kanisani, serikalini na katika maeneo mengine.
Wamekuwa wakifanya mambo ya hovyo tofauti na umri wao kuanzia namna wanavyozungumza hata katika matendo Yao.
Mfano Mtu mzima na akili zake unayetarajia akusaidie hata kwa ushauri lakini anaishia kuomba ngono. Inakata sana hii.
Mtu mzima mwingine unamuomba ushauri,lakini kabla ya kukusaidia anaenda kutangaza. Inauma sana.
Lakini hata lugha zao zinakatisha tamaa.
Hili limekuwa likinishangaza sana,nini husababisha haya yote? Ni kwamba wamegoma kukua au shida ni malezi.
Watu tunaowatarajia wasaidie vijana na taifa kusonga mbele lakini matendo Yao hayaridhishi.
Tunawasaidiaje? Au tunafanyaje?
Ifanyie uchunguzi upate abc utajua pa kuanzia.Uslay queen mi napeleka wapi😅
Nimeipenda hii idea
Hapa nakupa Siri kidogo nisije popolewa na kina madam.Naandaaje conference hapa sijakuelewa!
We mchina achana nae labda kama unataka kuozea segerea ukawe chakula ya bwana jelaUmenipa mawazo mazuri sana! Kumfumua mchina na dubu lake ndio bado nimeganda hapa🤔
😀😀Au sio! Hapa busara ni hakuna😒