secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Dah, kijana atakuwa ameona aibu sana 😂.Hapana mi si wa 90.
Nashukuru Mungu kanipa udongo mzuri.
Kijana wangu alikuja sasa anajua mama mlevi baba mlevi tukatoka.....
Sasa ba mtu akatuacha tukaendelea pale tukahama akanipeleka kwenye amapiano kelele nyingi!!!! Meza ya pembeni wakambwambia dogo hongera umejichagulia mishangazi wako very portable...
Ilibidi nicheke tu.