Nini kinasababisha Watu wazima kuwa na akili za kitoto?

Nini kinasababisha Watu wazima kuwa na akili za kitoto?

Kama unatusema sisi wanasisiemu, ukome mara moja.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 let me lauph eti chama kipi cha wazee au cha watoto kipii sasa Tanzania chama kimoja kwa sasa ni heche tu wengine usumbufu halafu hampendwi nyie nikama mapepo tu. Mnahitaji maombi mkemewe kila mtu wa chama chenu anatumia mabavu kumuonyesha mwenzake anammudu .

Nimesha sema sijakuacha nipo na Mungu natamba naye
 
Mfano Mtu mzima na akili zake unayetarajia akusaidie hata kwa ushauri lakini anaishia kuomba ngono. Inakata sana hii.

Mtu mzima mwingine unamuomba ushauri,lakini kabla ya kukusaidia anaenda kutangaza. Inauma sana.
Unakuta mtu mzima anajua style zote za kudinyana. Inafikirisha sana hii.

Mtu mzima mwingine anabaka kuku bila huruma na kumtia goli tatu. Inaogopesha kimtindo.

Binafsi naona matumizi ya mitandao ya kinamii inatuendesha sana sisi wazee (watu wazima) kwa sababu hii teknolojia imetukuta tayari tukiwa watu wazima.

Wazee wenzangu tusipende kwenda na kila linaloonekana kwenye mitandao ya kijamii.

Cc ERoni,
GRAHAM,
fimboyaukwaju,
Ushimen.
 
Kukuomba ngono sio tatizo ila tatizo kama atalazimisha ngono kuwa kigozo cha msaa huo ndo usenge
 
Hizo fursa ziko wapi jamani😮‍💨
Weeeee!!!!
Fursa nyingi labda wewe ni slay queen unataka uonekane kwenye kioo.
1.Migodi.
Unasikia huko migodini inaibuka kila Kona.
Nenda kiwandani uliza kila kitu watakupa details chukua gari peleka maji sambaza hapo chukua cash yako.

2. Andaa conference.
Kingereza kinapanda???
Hii Siri nakuibia unaona mikutano yote ya serikali unaweza kuwa part of it.
Hii Fanya utafiti nitakupa details kidogo.
Hapa mama ukifanya moja tu.

Mifugo, mazao ukiyaangalia kwa jicho lingine unatoboa ndani ya muda mfupi

Kama una ujasiri,, congo, Rwanda, Uganda ni migodi hiyo.
Uganda..
Kwa upande wa spare dada.
Congo
Wanatutegemea sana ukiweza kupelekq bidhaa kule kam kanga nzito na nguo za spesho. Vyakula uwe na ka mtaji hapa.
Rwanda
Chakula hasa mazao karanga na mchele japo Wana ubinafsi ukifanya utafiti utafurahia.
Nimetoa mfano hapo lakini pia hapa hapa Tanzania.
Kuna viwanda vya vyombo hivi vya plastic,,, hivi viwanda vya mafuta na lotion Fanya utafiti vinafanyaje kazi utapata jibu piga kazi.

Usambazaji wa chumvi mikoa ya pembezoni mwa nchi.
Viungo.
Tumia muda wako kuhusu viungo vya vyakula vinapopatika na jinsi ya ku supply. Utafurahia.
Mambo ni mengi Tanzania hii

Au unataka nikufundishe kumfumua mchina na dubu lake?
 
Me nadhani ni mazingira ndo yanawafanya wawe hivyo, ukiwachunguza kwa undani, utagundua wengi wao maisha sio mabaya sana, ila ni duni.
Na akikutana na watu nje anaona wanafurahia maisha yao na wanafanya vitu kwa amani, naye anamua KUIGIZA ili aonekane kama wao.

Na hapo ndo anapoamua kufanya kitu kisicho na athari chanya, ili aonekane na jamii kwamba anajiamini na hana stress na maisha yake.


Lakini pia na wewe jifikirie, kuna watu washakuja kwako kutaka msaada wowote? "Ndio" Je, uliwasaidia kwa wema mkamilifu? Kama jibu ni ndio sawa. Ila kama ni hapana" basi ujue hapa ilitakiwa usilete swali, ila ilitakiwa ulete elimu, utuelimishe kuwa tuache tabia zisizofaa kwa jamii.

Maana watu huwa tunahitaji msaada, "maji yakitufika shingoni.
 
Dah, heshima nyingi sana kwako. Mimi nilikuwa nadhani wewe ni binti wa miaka ya 90.
Hapana mi si wa 90.
Nashukuru Mungu kanipa udongo mzuri.
Kijana wangu alikuja sasa anajua mama mlevi baba mlevi tukatoka.....
Sasa ba mtu akatuacha tukaendelea pale tukahama akanipeleka kwenye amapiano kelele nyingi!!!! Meza ya pembeni wakambwambia dogo hongera umejichagulia mishangazi wako very portable...
Ilibidi nicheke tu.
 
Back
Top Bottom