Nini kinasababisha Watu wazima kuwa na akili za kitoto?

Nini kinasababisha Watu wazima kuwa na akili za kitoto?

Ukiona kutongozwa ni utoto, basi hata wewe kukataa unaonekana ni utoto. Kwahiyo na wewe jiulize kwanini unafanya utoto.

Kuleta malalamiko hapa JF, wengine wanaona umefanya utoto ili hali wewe ni mtu mzima. Kwa maana hiyo, utoto wa mtu ni vile mpokeaji wa maudhui anavyofiriki. Hivyo wote tunafanya utoto kwa namna watu wanavyofikiri.

Ukitaka jibu, na wewe nijifikutie kwanini unafanya utoto
 
Hao unao waona watu wazima ndio wale wapumbavu waliokuwa wanasumbua wazazi na jamii zao
Kwahy upumbavu wao haukuondoka Bali wameendelea kuwa nao Hadi sasa unavyowaona ukubwan
Ikumbukwe kuwa
Sio kila mwenye mvi ni mzee mwenye busara na wapumbavu pia huzeeka
 
Ni mfumo tu usisikitike.
Kiuhalisia mi nilitoka huko kwenye hivyo viti kitambo sana.
Huko unakokutamani na kusikitika !!!! Tanzania hii Kuna fursa sana Hela njenje ukiipatia huna haja ya kulilia hivyo viti
Hizo fursa ziko wapi jamani😮‍💨
 
Ni mfumo tu usisikitike.
Kiuhalisia mi nilitoka huko kwenye hivyo viti kitambo sana.
Huko unakokutamani na kusikitika !!!! Tanzania hii Kuna fursa sana Hela njenje ukiipatia huna haja ya kulilia hivyo viti
Tugaie na sisi wanyonge
 
Ni mfumo tu usisikitike.
Kiuhalisia mi nilitoka huko kwenye hivyo viti kitambo sana.
Huko unakokutamani na kusikitika !!!! Tanzania hii Kuna fursa sana Hela njenje ukiipatia huna haja ya kulilia hivyo viti
Ningesema kitu au basi, sasa hivi pamenoga ule mkoa wa mananasi.
 
Back
Top Bottom