ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Hatuwapatii upenyo 😁Wazee wa hovyo tena, mtuhurumie vijana
Wazee gani hamlali mapema
Huko ma ofsin hamtaki kuachia seat
Ili na sisi tukae 😎
Hatuwapatii upenyo 😁Wazee wa hovyo tena, mtuhurumie vijana
Ooh hapo nimekuelewa tajiri mbaga!Nadhani kuna ile mtu kumuona kwa namna tofauti mtu mwingine, mfano unaweza kumuona mtu ana akili za kitoto kumbe labla anapitia magumu hvy n anatafuta relief ya anayopitia.
Mm na ww tunaweza kupigiana kelele humu JF, mwngn akatuona kama wehu Kumbe n Sisi tunajuana
Mnasha sio ?wazee wa hovyo
Yah, mm Niliwah kupitia kipindi kigumu mpaka nilikuwa nacheka.Ooh hapo nimekuelewa tajiri mbaga!
Ila kweli au ndio tumebebeana madem sio? Saingine ukiwa unapitia kipindi fulani unajivua utimamu wako unaanza kujianika mpaka unaonekana kama unataka kuchanganyikiwa! Kumbe saingine unatype huku unalia😅
Humu Makota mengi kumbeNdio akili zenyewe za kidwanzi hizo!
Au umelewa?Mleta mada hujui wazee wa hovyo tupo tumejaa tele, tunazeeka na upumbavu wetu, tupo busy na vibinti viko 20s na hata 18-19.
Unacheka mwenyewe?Yah, mm Niliwah kupitia kipindi kigumu mpaka nilikuwa nacheka.
Sasa ukiniona Utadhani Chizi
Wazee tunaenda na trendy hapa tuko juu ya meza na makombolelo.Hatuwapatii upenyo 😁
Wazee gani hamlali mapema
Huko ma ofsin hamtaki kuachia seat
Ili na sisi tukae 😎
Ndio makubwa kwa madogo🤓Humu Makota mengi kumbe
Nimeumia sana, 😥Wazee tunaenda na trendy hapa tuko juu ya meza na makombolelo.
Huko ofisini usiwazie kabisa,, tulisha rudisha umri nyuma tunakua hatuzeeki.
Bila Figo kufeli au ajali ya kifo viti mtavisikia ajira portal.
JF n sehemu yangu ya stress free, so usijidanganye na comments zangu humu kila wakat n happy tuu 😂Unacheka mwenyewe?
Yeah Mr.RiceI mean no malice to nobody
Mfano Mtu mzima na akili zake unayetarajia akusaidie hata kwa ushauri lakini anaishia kuomba ngono.