Patrice Diounis
JF-Expert Member
- Jul 24, 2023
- 1,086
- 2,254
kuna watu nawaheshimugi na vile hawaandiki sana kumbe Makota aseeNdio makubwa kwa madogoš¤
kuna watu nawaheshimugi na vile hawaandiki sana kumbe Makota aseeNdio makubwa kwa madogoš¤
Hutaki makasiriko sio? Huku ni kuachia strezz zako zote tušJF n sehemu yangu ya stress free, so usijidanganye na comments zangu humu kila wakat n happy tuu š
The world is absurd and bizarre.Kuna baadhi ya watu wazima matendo Yao hayafanani na umri wao.
Watu hao ni Viongozi wa familia,kanisani, serikalini na katika maeneo mengine.
Wamekuwa wakifanya mambo ya hovyo tofauti na umri wao kuanzia namna wanavyozungumza hata katika matendo Yao.
Mfano Mtu mzima na akili zake unayetarajia akusaidie hata kwa ushauri lakini anaishia kuomba ngono. Inakata sana hii.
Mtu mzima mwingine unamuomba ushauri,lakini kabla ya kukusaidia anaenda kutangaza. Inauma sana.
Lakini hata lugha zao zinakatisha tamaa.
Hili limekuwa likinishangaza sana,nini husababisha haya yote? Ni kwamba wamegoma kukua au shida ni malezi.
Watu tunaowatarajia wasaidie vijana na taifa kusonga mbele lakini matendo Yao hayaridhishi.
Tunawasaidiaje? Au tunafanyaje?
Shikamoo bibieMazingira, Mazingira yakiwa stressful/ toxic watu wanajisahau na ku act irrational...kama hapa jf saa nyingine..lol
Mtusamehe sisi wazee wa hovyo, lol..
Naiona nafasi pale juu ššMambo n mengi, ww furahi tuu š
Inasikitisha sana mamaāake!Usilie mama hiyo ni hali halisi
Nikienda tena huko mnichinje aisee!Mambo n mengi, ww furahi tuu š
Mwenyewe ndio nimegundua leo kuna watu wana vichaa sio vya kawaida!kuna watu nawaheshimugi na vile hawaandiki sana kumbe Makota asee
WapNikienda tena huko mnichinje aisee!
Umepiga je hapo dada šWazee tunaenda na trendy hapa tuko juu ya meza na makombolelo.
Huko ofisini usiwazie kabisa,, tulisha rudisha umri nyuma tunakua hatuzeeki.
Bila Figo kufeli au ajali ya kifo viti mtavisikia ajira portal.
Labla juu kuelekea chini šNaiona nafasi pale juu šš
Takbir āļøHutaki makasiriko sio? Huku ni kuachia strezz zako zote tuš
Mr Mchele šYeah Mr.Rice
WanatuangushaMwenyewe ndio nimegundua leo kuna watu wana vichaa sio vya kawaida!
Ndio yale Unamuheshimu mtu vizuri tu kumbe alirudia la nneš
ššHarudi tena huyo.Mr Mchele š
Kwenye aptitude
Umebanduliwa bwashee šI mean no malice to nobody
Ni mfumo tu usisikitike.Inasikitisha sana mamaāake!
Utarudi tuu šKwenye aptitude