Nini kinasababisha Watu wazima kuwa na akili za kitoto?

Nini kinasababisha Watu wazima kuwa na akili za kitoto?

Dah! realMamy na SweetyCandy nilikua sijawacheki kwa avatar, sasa mkienda kwa Mbaga Jr au secretarybird kuomba ushauri utapewa kweli? Zaidi si watakuomba ngono tu. Maana umrembo kweli.
Na ukiwanyima, wakifika gheto wanaanza kutafuta busara na hekima(kunyetuka)
Mm sijawah kusex, napiga nyeto tuu, mpaka sasa uboo una lailon kuthibitisha mm bado nna uvulana wangu mpaka sasa
 
Kuna baadhi ya watu wazima matendo Yao hayafanani na umri wao.
Watu hao ni Viongozi wa familia,kanisani, serikalini na katika maeneo mengine.
Wamekuwa wakifanya mambo ya hovyo tofauti na umri wao kuanzia namna wanavyozungumza hata katika matendo Yao.
Mfano Mtu mzima na akili zake unayetarajia akusaidie hata kwa ushauri lakini anaishia kuomba ngono. Inakata sana hii.

Mtu mzima mwingine unamuomba ushauri,lakini kabla ya kukusaidia anaenda kutangaza. Inauma sana.

Lakini hata lugha zao zinakatisha tamaa.

Hili limekuwa likinishangaza sana,nini husababisha haya yote? Ni kwamba wamegoma kukua au shida ni malezi.

Watu tunaowatarajia wasaidie vijana na taifa kusonga mbele lakini matendo Yao hayaridhishi.
Tunawasaidiaje? Au tunafanyaje?
 

Attachments

  • Screenshot_20260320_090600_Instagram.jpg
    Screenshot_20260320_090600_Instagram.jpg
    187.2 KB · Views: 18
Hii arsenal hii!!!! Leo inatulaza macho wazi.... Babu yako kwa hasira yuko chini ya muembe na konyagi yake full kuitukana arsenal. Ningekuwa na manati ningepopoa uwa laza wake akimbilie ndani tufunge mlango.
🤣🤣🤣🤣
 
Swala la kuzeeka halihusiani na akili, busara wala hekima. Ile scandal ya babu yupo 80s kufia guest na mdada wa 30s huikumbuki?
Silikumbuki, kufia guest na kuwa na akili za kitoto vinahusiana?
 
Weeeee!!!!
Fursa nyingi labda wewe ni slay queen unataka uonekane kwenye kioo.
1.Migodi.
Unasikia huko migodini inaibuka kila Kona.
Nenda kiwandani uliza kila kitu watakupa details chukua gari peleka maji sambaza hapo chukua cash yako.
Uslay queen mi napeleka wapi😅
Nimeipenda hii idea
2. Andaa conference.
Kingereza kinapanda???
Hii Siri nakuibia unaona mikutano yote ya serikali unaweza kuwa part of it.
Hii Fanya utafiti nitakupa details kidogo.
Hapa mama ukifanya moja tu.
Naandaaje conference hapa sijakuelewa!
Mifugo, mazao ukiyaangalia kwa jicho lingine unatoboa ndani ya muda mfupi

Kama una ujasiri,, congo, Rwanda, Uganda ni migodi hiyo.
Uganda..
Kwa upande wa spare dada.
Congo
Wanatutegemea sana ukiweza kupelekq bidhaa kule kam kanga nzito na nguo za spesho. Vyakula uwe na ka mtaji hapa.
Rwanda
Chakula hasa mazao karanga na mchele japo Wana ubinafsi ukifanya utafiti utafurahia.
Nimetoa mfano hapo lakini pia hapa hapa Tanzania.
Kuna viwanda vya vyombo hivi vya plastic,,, hivi viwanda vya mafuta na lotion Fanya utafiti vinafanyaje kazi utapata jibu piga kazi.

Usambazaji wa chumvi mikoa ya pembezoni mwa nchi.
Viungo.
Tumia muda wako kuhusu viungo vya vyakula vinapopatika na jinsi ya ku supply. Utafurahia.
Mambo ni mengi Tanzania hii

Au unataka nikufundishe kumfumua mchina na dubu lake?
Umenipa mawazo mazuri sana! Kumfumua mchina na dubu lake ndio bado nimeganda hapa🤔
 
Back
Top Bottom