Siti ya mbele nikisubiri majibu ya watu wazima wasio na akili za kitoto 🪑🪑🤭Kuna baadhi ya watu wazima na Mvi kabisa,lakini matendo Yao hayafanani na umri wao.
Watu hao ni Viongozi wa familia,kanisani, serikalini na katika maeneo mengine.
Wamekuwa wakifanya mambo ya hovyo tofauti na umri wao kuanzia namna wanavyozungumza hata katika matendo Yao.
Hili limekuwa likinishangaza sana,nini husababisha haya yote?
Watu tunaowatarajia wasaidie vijana na taifa kusonga mbele lakini matendo Yao hayaridhishi.
Tunawasaidiaje? Au tunafanyaje?
Ndio akili zenyewe za kidwanzi hizo!Me nalia na hawa wakuzusha mambo na kuchafua wenzao.
Mindset imefanyaje?Mindset tuu
Saazingine ni mindset yako tu kuwaona kuwa wana akili za kitoto hasa linapokuja suala la 'kutokewa'!Kuna baadhi ya watu wazima na Mvi kabisa,lakini matendo Yao hayafanani na umri wao.
Watu hao ni Viongozi wa familia,kanisani, serikalini na katika maeneo mengine.
Wamekuwa wakifanya mambo ya hovyo tofauti na umri wao kuanzia namna wanavyozungumza hata katika matendo Yao.
Hili limekuwa likinishangaza sana,nini husababisha haya yote?
Watu tunaowatarajia wasaidie vijana na taifa kusonga mbele lakini matendo Yao hayaridhishi.
Tunawasaidiaje? Au tunafanyaje?
Sio wazee bhana semaWazee tumefikiwa
Si matendo yake yamekaa kinamna hiyo! Mbona ni rahisi sana kumgundua punguwani!Saazingine ni mindset yako tu kuwaona kuwa wana akili za kitoto hasa linapokuja suala la 'kutokewa'!
Na huwa sielewi kigezo anachotumia mwanamke kumpima na kumuona mwanaume aliyevutiwa naye na kumtongoza kuwa ni mjinga mjinga, hohehahe asiye na akili kabisa!
Saazingine kwa kumropokea ama kuonesha dharau?!
Why?
Nadhani kuna ile mtu kumuona kwa namna tofauti mtu mwingine, mfano unaweza kumuona mtu ana akili za kitoto kumbe labla anapitia magumu hvy n anatafuta relief ya anayopitia.Mindset imefanyaje?
Wazee wa hovyo tena, mtuhurumie vijanaSio wazee bhana sema
Wazee wa hovyo