Nini kinasababisha Watu wazima kuwa na akili za kitoto?

Kama mzee wa miaka 80 anaendeleza ngono unadhani hizo ni akili za kiutu uzima? Kuna hekima na busara hapo kweli?
Lakini si huwa mnasemaga ng’ombe hazeeki maini!
 
Hahahaa sawa nimekuewa dadaake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…