Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,564
- 9,043
Zanzibar kuchaguliwa mgombea na Wa-bara
Nina sikitika sana namna wabara wanavyowachagulia wazanzibar kiongozi/mgombea U-rais , tena mgombea Mwenyewe ni Mzaramo kwa Asili, okay , wacha wapate wanachokitaka.Analia kabisa??? Tatizo lake ni nini kwani??
Acha waendelee kutawaliwaWazanzibar wanachaguliwa rais wao kutokea bara
Acheni Uchochezi ninyi.
Umeona wajumbe wangapi wamelia?
Zito Kabwe anamfuatilia kwa sababu anaona uchungu yeye majungu yake na Propaganda zimemponza. Zito Kabwe huwezi kuwa chochote Tanzania kwa sababu moyo wako upo kama sura yako.Dhihaka kweli.View attachment 1503890