Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,564
- 9,043
- Thread starter
- #41
Chama cha makanikia hakiishi vituko ,yaani wameamua kuwasukumizia Hussein Mwinyi Zanzibar kama walivyofanya kwa Jpm 2015.
yakhe tena mgeni kwao hawajazoea hata kujambiana nae ati! ila kwa vile ndugu zao wawili waliingia top three watajisemea kufungwa tunfungwa ila chenga twawala!Wazanzibar wanachaguliwa rais wao kutokea bara
Baada ya kuongwa kugombea urais mwanaye.mzee mingine mijinga sana
Nina sikitika sana namna wabara wanavyowachagulia wazanzibar kiongozi/mgombea U-rais , tena mgombea Mwenyewe ni Mzaramo kwa Asili, okay , wacha wapate wanachokitaka.
Rais au Raisi😀😀Hahahaha nliwaambia mapema Waache hiyo tabia hawakusikia kila mtu apambane na Hali
Na Bado ona hapa chini hii mechi Bado mbichi kabsaa View attachment 1503888View attachment 1503889
Nashukuru unajua ya kwamba "mgombea wa CCM" ndiye atakayekuwa Rais wa Zanzibar.
Who does not apply Machiavelism?
Tatizo lake hili hapa...MkuuAnalia kabisa??? Tatizo lake ni nini kwani??
Wewe utaendelea kuwa mtumwa na utautithisha kwenye vizazi vyako...Haki iliminywa. Ni wengi tunalia mioyoni, japo usoni tunalazimika kuonesha tabasamu.
Hapo sasa nimeelewa kwanini alikuwa analia.
Hahahaha nliwaambia mapema Waache hiyo tabia hawakusikia kila mtu apambane na Hali
Na Bado ona hapa chini hii mechi Bado mbichi kabsaa View attachment 1503888View attachment 1503889
Chaguo la Wazanzibari lilikuwa Dr Khalid..Hapo sasa nimeelewa kwanini alikuwa analia.
Ahsante sana mkuu
Kilowaloza eti membe ndoye mshika uskani upinzaniZito Kabwe anamfuatilia kwa sababu anaona uchungu yeye majungu yake na Propaganda zimemponza. Zito Kabwe huwezi kuwa chochote Tanzania kwa sababu moyo wako upo kama sura yako.
Kuna watu wamepiga kura ya HAPANA lakini wakaona MWENYEKITI AMEPITA KWA 100% ndio hawa hapa, hawaamini macho yao.