Nini kinawaliza Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM?

Nini kinawaliza Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM?

Viongozi wa Zanzibar hawamtaki mwinyi lkn Tanganyika wamelazimisha
Ona hii attachment, wazanzibari wananyanyaswa sana sana
Acha umbeya, mbona kwenye kikao cha wazenji watupu walimpendekeza katika tano bora
 
Acha waendelee kutawaliwa
Kuna tofauti gani na wewe unavyotawaliwa?

Naomba tu usinibamize kichwa ukutani, kwani hili ni swali nililoshindwa kujizuia kukuuliza.

Itapendeza sana ukinijibu kwa upole.

Natanguliza ahsante mkuu 'kichomiz'.
 
Wajumbe wa zanzibar wote hawajampa kura Mwinyi Lakini kashinda

Dodoma Hoyeeeeee
Aaanh, wacha Bhwanaaah!

Inawezekana hiyo? Ni swali tu mkuu 'Phillemon Mikael'..., wait a minute, 'Phillemon Mikael'? wa enzi zile za heshima kubwa?

Sina shaka na uyaandikayo, ni kuuliza kwa kushangaa tu! Tuna 'regime' ya ajabu sana hii!

Hivi kwani WaZanzibari wakikataa itakuwaje?
 
Zanzibar ni VISIWA.....

Wataalamu wa ANTHROPOLOGY pasi na Shaka waligundua kuwa BINADAMU ameanza kuishi katikati ya MABARA....

Kidogokidogo wakasambaa na kutaka KUVUA kumbuka huko nyuma walikuwa wanakaa mapangoni,wanawinda,kulima na kurina asali.

Wakazi wa Zanzibar MAJORITY wana asili ya TANGANYIKA,MSUMBIJI NA PWANI YA KENYA,WAKO KUTOKA MALAWI NA HATA KONGO.

Nenda Makunduchi watu wa sherehe za"MWAKAKOGWA" halafu waulize kina mh.Shamsi Vuai Nahodha JUU ya asili ya mababu zao,hakika watakujibu kuwa BABU ZAO walitokea eneo linaloitwa KUNDUCHI.....

Pale kunduchi,Ununio MPAKA Bagamoyo ndiko safari ya kuvielekea visiwa vya zanzibar ILIANZA.
Ilihusisha watu wa MKURANGA MPAKA RUFIJI.

Nenda Lindi na mtwara halafu Muulize yoyote akutamkie neno "MTU" hakika utajiona umekutana na MPEMBA wa Chokocho ama Ziwani.

Dhana ya KUMUONA DR.HUSSEIN MWINYI kuwa ni "mhadimu" ni dhana koko,mfu,na isiyo na kushika.
Na vipi Watanganyika? Wao walitokea wapi? Historia ya binadamu imeanza na Adamu aliyeangukia Yemen baada ya visa vya shetani na baadae kuishia Misri. Jee Watanganyika walitokea Yemen au Misri ya kale? Siku zote ukimnyooshea mwinzio kidole kimoja, vile vinne vinaelekea kwako. Popote walipotokea Wazanzibari wanabakia kuwa Wazanzibari.
 
Tena mzaramo wa mkuranga
Kwani Mzaramo sio Binaadamu, mbona mu Wabaguzi sana?.

Alafu Mtaonekana mkijinadi kupinga ubaguzi wa wa Wazungu dhidi ya Weusi ili hali nyinyi wenyewe kwenu kuishi bila kubaguana ni mtihani.
 
Kwa mara ya kwanza NEC badala ya kupelekea majina Matatu mkutano mkuuu
Imeprleka moja la Hussein tu
 
Mzaramo ndiyo akawaongoze wapemba na wazanzibar? Kwani kwao hamna mwenye uwezo wa kuongoza?
Kwani Mzaramo sio Binaadamu, mbona mu Wabaguzi sana?.

Alafu Mtaonekana mkijinadi kupinga ubaguzi wa wa Wazungu dhidi ya Weusi ili hali nyinyi wenyewe kwenu kuishi bila kubaguana ni mtihani.
 
Hawa walishaambiwa mgombea yoyote ni kwa matakwa ya Mwenyekiti wa chama atakavyoamka siku hiyo na siyo suala la kura zao, kura ni maigizo tu
 
Back
Top Bottom