Nini kinawaliza Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM?

Nini kinawaliza Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM?

Yaani chama kinachojinasibu kikongwe barani Afrika ukiitoa ANC , kinafanya madudu kwenye uchaguzi wake tena mbele ya wageni waalikwa kutoka nchi mbalimbali.
Wameishiwa Sera,wanapapatua kila kona, Waswahili wanasema mfa maji haachi kutapatapa....😀😃
 
Zanzibar ili mpate haki inabidi MUUNGANO muuvunje tu otherwise mtakuwa mnalia kila siku.

Rais wa Zanzibar anachaguliwa na watu wa Bara uliona wapi?
 
VIJANA WA CCM TUKAE KWA KUTULIA.

Na Thadei Ole Mushi.

Kila nikiangalia hii picha ya Joshua Nasari, nikikumbuka na swali lililoulizwa na Mjumbe Wa NEC toka Songwe kuhusu wahamiaji kupewa Vyeo badala ya vijana waliopo CCM nacheka Sana.

Definitely tuache Hawa vijana wajinafasi kwa kuwa sioni ndani ya UVCCM mwenye uwezo wa kuwazidi. Nilipokuwa nasema Sana kuhusu hili miaka ya kuanzia 2017 Hakuna waliokuwa wanaunga mkono Hoja hiyo kila mtu alikuwa anaimba litania, Ngonjera,Pambio za Masifu, kupiga Manyanga nk.

Niliwaambia ifikapo 2020 mtakumbuka haya niliyokuwa nawaandikia na niliwaambia CCM Asilia itakuwa imetekwa na kutiwa mfukoni. Ni Dhahiri baada ya chuo Cha kivukoni kushindwa kupika vijana wa CCM Chadema inatusaidia jukumu Hilo.

Huwa nawaambia mnapata wapi ujasiri wa kuwaita Chadema Nyumbu? Hahahahah tutulie infact hatuna vijana wanaofikia viwango vya Hawa watu. Tutulie tuendelee na kujifua.

Ukiona baba yako anawagawia watoto wa Jirani Urithi ujue wewe ni mvuta bangi na mla Unga. Akikupa Urithi utauza upate hela ya kulamba Unga.

Ole Mushi
0712702602
 
Kwanza mkutano mkuu ulipangwa kuketi siku mbili halafu ,umekaa siju moja nani alibadilisha muda ?Yesu wa ccm au ?
 
IMG_20200712_125351.jpg
 
Wewe na Mbowe (km anakubaliana na wewe) hamjui siasa. Katika siasa, uongo ukiachwa usambae unakuwa ukweli.
Hatuna utaratibu wa kumzunguzia mtu ambaye hana hoja ni kumpaisha. Eti ionekane mwenyekiti brother Mbowe kamjibu pombe, ni ujinga maana hakuna jipya itakuwa kumtukuza au kumpaumaarufu tu asiokuwa nao
 
Chama Dola!!
Ccm Hoyee!!
Watatuelewa Tu Mwaka Huu, Pia Malipo Ni Hapa Hapa Duniani
Huko Mbinguni Inakwenda Hesabu

😐🤔😶🤨😑😎😗
 
Back
Top Bottom