Nini kinawaliza Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM?

Nini kinawaliza Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM?

Mtu anaweza kulia kwa furaha ya kutoamini kinachoendelea au kulia kwa uchungu, sasa huyu alikuwa analia kwa nini? Mpiga picha hakutenda haki kwa sababu hakuuliza sababu ya huyu Mtanzania alikuwa anatoa machozi. Je, jina lake ni nani nk. Tuache unafiki ambao hauwezi kulisaidia hili taifa kusonga mbele. Vijana msifikiri kuishi miaka 100 ni mingi hapa duniani kwa mwenyezi mungu ni kufumba na kufumbua. Jitambueni wakati ni huu!
Hapo analia kwa uchungu. Angalia picha kwa umakini. After all mwanaume wa kibongo akiwa na furaha hurukaruka na kushangilia. Kamwe hawezi kulia
 
Mkuu furaha ikizidi sana unaweza kulia. Inawezekana wamefurahi Msgufuli kupitishwa tena! Inawezekana pia wanafuraha mz'bar halisi Dr Mwinyi anepitishwa
 
Haki iliminywa. Ni wengi tunalia mioyoni, japo usoni tunalazimika kuonesha tabasamu.
Falsa ya Demokrasi ni ngumu mno hasa linapokuja swala la uchaguzi, kwa watu wengi huamini akishinda yeye au aliye muunga mkono ndo sawa kabisa kumbe hata kukubali kushindwa ni demokrasia pia.
 
Ukiona mtu mzima analia machozi jua kuna kitu ndani yake
IMG-20200711-WA0042.jpeg
 
Wapinzani huwa mtaji kama huu hawautumii vizuri. Jana Jiwe alisema bila ya CCM hakuna muungano. Huo ni upotoshaji. Sijasikia ACT wala CHADEMA wakikanusha! Kauli kama hizi zinahitaji counterattack. Upinzani wamelala...
Duh! Una heri Maalim maana kampeni zako zitakuwa rahisi sana. wajumbe wa kamati kuu wote 35 hawajampigia kura Husseni Mwinyi,

Wajumbe waliopiga kura ni 164
Shamsi Nahodha = kura 16
Khalidi = kura 19
Hussein Mwinyi = kura 129 (zote zimetoka bara) manina nyie wazenji mnaliwa nyuma mkimchagua huyo mzaramo. Achaneni naye mpeni kura Maalim ambaye miaka yote amekuwa akiwapigania.
 
Wapinzani huwa mtaji kama huu hawautumii vizuri. Jana Jiwe alisema bila ya CCM hakuna muungano. Huo ni upotoshaji. Sijasikia ACT wala CHADEMA wakikanusha! Kauli kama hizi zinahitaji counterattack. Upinzani wamelala...
Hatuna utaratibu wa kumzunguzia mtu ambaye hana hoja ni kumpaisha. Eti ionekane mwenyekiti brother Mbowe kamjibu pombe, ni ujinga maana hakuna jipya itakuwa kumtukuza au kumpaumaarufu tu asiokuwa nao
 
Zanzibar kuchaguliwa mgombea na Wa-bara
Hiyo sio kweli wagombea watano waliletwa kutoka zanzibar hakuna mtu hata mmoja aliyeongezwa kwa hiyo amechaguliwa mzanzibari kama Mwinyi walikuwa hawamtaki wasingempitisha kwenye kundi wangemchinjia huko huko zenji kama walivyomfanyia karume na wengine
 
Back
Top Bottom