Nini kinawaliza Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM?

Nini kinawaliza Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM?

Wazenj hawana budi kulinda kura zao wakati wa uchaguzi mwezi October kwani mara zote huko Zenj ccm hawashindi bali wanadhulumu ushindi wa Maalim Seif!!! Safari hii komaeni muhakikishe kura zenu hazihujumiwi!!
Ndiyo hivyo kwa mara ya 25...[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Viongozi wa Zanzibar hawamtaki mwinyi lkn Tanganyika wamelazimisha
Ona hii attachment, wazanzibari wananyanyaswa sana sana
 

Attachments

  • FB_IMG_1594483128903.jpg
    FB_IMG_1594483128903.jpg
    48.8 KB · Views: 13
Ina semekana wajumbe wa kupendekeza y jina la rais wa Zanzibar kutoka Zanzibar walikuwa 24 tuu. Ambao walimpigia kura Shamsi n aDr Khalid. Kwamba Mwinyi haku pigiwa kura hata moja na mjumbe toka Zanzibar..
Na huo ndio ukweli.
 
Back
Top Bottom