Kennedy
Platinum Member
- Dec 28, 2011
- 62,832
- 77,037
Njia Zipo Nyingi Sana, Cha Muhimu Kufika SalamaAlipitaje sasa kule Zenji?
Njia Zipo Nyingi Sana, Cha Muhimu Kufika SalamaAlipitaje sasa kule Zenji?
Vyombo vya ulinzi na usalama vitahakikisha hujuma itakayofanywa na tume ya uchaguzi dhidi ya upinzani inalindwa kwa nguvu zote. Wafikirie mbinu nyingine.Wazenj hawana budi kulinda kura zao wakati wa uchaguzi mwezi October kwani mara zote huko Zenj ccm hawashindi bali wanadhulumu ushindi wa Maalim Seif!!! Safari hii komaeni muhakikishe kura zenu hazihujumiwi!!
Haya! Yangu macho na masikio. Ila tunakoelekea siyo kuzuri.Hahahaha nliwaambia mapema Waache hiyo tabia hawakusikia kila mtu apambane na Hali
Na Bado ona hapa chini hii mechi Bado mbichi kabsaa View attachment 1503888View attachment 1503889
UnafikiHaki iliminywa. Ni wengi tunalia mioyoni, japo usoni tunalazimika kuonesha tabasamu.
Kwenye tano bora hayumo [emoji23][emoji23][emoji23]