😂😂😂😂😂Bashe ni MWARABU KOKO au MBANTU ALIYECHANGAMKA?
Mbantu aliyechangamka yule ,huoni anavyowachamba wenziye?Bashe ni MWARABU KOKO au MBANTU ALIYECHANGAMKA?
Pascal MayallaWakuu,
Hili suala limenitafakarisha. Nchi hii ina watu wengi wenye asili ya Asia , wengi Sana.
Ajabu ni nadra kukuta kiongozi serikalin ni wa jamii hizo. Je watu hawa hawana elimu au nin sababu mpaka hakuna waziri wala naibu waziri mwenye asili ya Asia,
Hakuna Katibu mkuu wala naibu Katibu mkuu,
Hakuna mkuu wa mkoa wala Mkuu wa Wilaya,, hakuna mkurugenzi wa halmashaur wala taasis yoyote.
Je watu hawa hawateulik? Wakina Kanjibahi wanaonekana kupata mafanikio binafsi hasa katika biashara.
Bashe na Kinana ni WasomaliBashe ni MWARABU KOKO au MBANTU ALIYECHANGAMKA?
Ni RAIA FEKI SEMA KWA SASA WAO NDIYO WANAENDESHA NCHI NA KUAMUA KIONGOZI NDANI YA CCM AWE NANIWakuu,
Hili suala limenitafakarisha. Nchi hii ina watu wengi wenye asili ya Asia , wengi Sana.
Ajabu ni nadra kukuta kiongozi serikalin ni wa jamii hizo. Je watu hawa hawana elimu au nin sababu mpaka hakuna waziri wala naibu waziri mwenye asili ya Asia,
Hakuna Katibu mkuu wala naibu Katibu mkuu,
Hakuna mkuu wa mkoa wala Mkuu wa Wilaya,, hakuna mkurugenzi wa halmashaur wala taasis yoyote.
Je watu hawa hawateulik? Wakina Kanjibahi wanaonekana kupata mafanikio binafsi hasa katika biashara.
MsomaliBashe ni MWARABU KOKO au MBANTU ALIYECHANGAMKA?
Sasa hao ni waswahili wewe sio wa abesh.Abdulrahmman Kinana
Hussein Bashe
Sijui nani yule Zungu
Hujafuatilia tu.Wakuu,