Nini kinazuia watu wenye asili za asia kupata nafasi serikalini?

Nini kinazuia watu wenye asili za asia kupata nafasi serikalini?

Jamaa lakini wanapenda biashara badala ya kuajiriwa

Hata wakisoma, hawataki kuwa wajinga wajinga wa kutafuta ukubwa ndani ya system ili baadae wawe wezi wasiokamatika.
Wanaanzisha biashara zao ambazo zinakuja kuwa kubwa sana. Nina mifano kadhaa ya accountants, engineers na drs wa kiasia.
Sisi mbona tumedumaa kila upande. Hakuna upande tuko sawa. Nini shida?
 
Ubunge si ajira rasmi, Shabib na Abood wapo bungeni kwa maslahi yao binafsi kijana.

Ukitaka kufanya biashara bila bughudha katika nchii hii kuwa karibu na Serikali - au ulikuwa na hili hulijui hadi leo.
Umemsoma mleta mada vizuri!??
Je ubunge sio sehemu ya serikali!?
Tena serikali kuu kabisa.
Alichosema mleta mada kwanini hatuwaoni hao shombe shombe serikalini na ofisi zingine!?
Embu soma kwa uelewa basi.
 
Wakuu,

Hili suala limenitafakarisha. Nchi hii ina watu wengi wenye asili ya Asia , wengi Sana.

Ajabu ni nadra kukuta kiongozi serikalin ni wa jamii hizo. Je watu hawa hawana elimu au nin sababu mpaka hakuna waziri wala naibu waziri mwenye asili ya Asia,

Hakuna Katibu mkuu wala naibu Katibu mkuu,

Hakuna mkuu wa mkoa wala Mkuu wa Wilaya,, hakuna mkurugenzi wa halmashaur wala taasis yoyote.

Je watu hawa hawateulik? Wakina Kanjibahi wanaonekana kupata mafanikio binafsi hasa katika biashara.

Ni unyimi tu, nikiangalia baraza la serikali ya TANU katika hifadhi ya intaneti inaonesha wananchi wa kawaida na political class enzi hizo hawakuwa na mambo ya kubaguana.

Waliamini mtu yoyote aliyezaliwa Tanganyika alikuwa ni raia kama wengine wowote kama vile Marekani n.k wanavyoamini katika wazaliwa wake.

Ila inaonesha kuna kundi la TANU ya sasa inayojulikana kama chama dola kongwe kina falsafa na chembwchembe za kiubaguzi wa kikaburu, ndiyo sababu hata wale diaspora wetu wawe weusi tititi, waarabu wa Tabora, Wanyiramba wahindi kina Dewji wote wanabagguliwa kikaburu

Ni hayo ninayoyaona ya watu kuwa na ukaburu wa kikanda hadi wa rangi n.k
 
Nadhani amepatia kuuliza hivyohivyo, na kuna sababu za msingi kwanini hawataki kufanya kazi serikalini
Zamani kulikuwa na walimu Wahindi kwenye shule za kata, vipi leo
Wewe ukijiweza utang'ang'ania kuishi uswazi ili uonekane mtanzania halisi ?

..ina maana hawa ndugu zetu hakuna asiyejiweza, na mwenye uchumi sawa, na wazawa walio wengi? Hakuna anayeanza maisha, au anayejitafuta, wa kuishi na walalahoi maeneo ya Uswazi?
 
Nyinyi ndio mbulula wenyewe na pamoja mwingine amekukwoti na kumtaja Salim Ahmed Salim
Huyo wa NECTA anaugabachori gani?
Ni kwa vile kama ulivyojieleza ni wewe ni mlugaluga umetokea maporini huko na kuja mjini na kushangaa
Wanaokaa mijini iwe Dar, Mwanza au Arusha na Moshi wanauwezo kusema kumtaja mtu ni gabachori sababu wageni wa kuja wanajuklikana,
Sisi tumesoma nao, tumecheza nao hivyo tunajua kuwatofautisha sio nyinyi wa maporini, kila ukiona mtu ana rangi nyeupe ni gabachori
Huyo Bhiku namjua sana mpaka kwake Upanga mtaa wa Mindu tokea nasoma primary

..Ni kama Spika Tulia, yeye akiona Mzungu anaamini ni Mkoloni. Kuna nchi za kizungu na wenyewe walitawaliwa kama sisi.

..Tukirudi kwenye mada, kwanini hakuna machangudoa wa Kihindi, na Kiarabu, wanaochangamana na Dada zetu wazawa kutafuta wateja?
 
Mada hii ya kijinga kweli hata mtoto wa sekondari akisoma atashangaa watu wazima tunajadili hili, anyway.

Huwa mnasema Kuajiriwa utumwa,huwezi kutajirikia kwa Kuajiriwa..

Tuangalie list ya matajiri kumi Bora Tanzania,Kuna mmatumbi??wangapi??je wahindi na waarabu??..

Take home za laki nne chukueni nyinyi...nimesoma na muhindi anajua hisabati kupita maelezo,.masomo yote A+ Baba yake ana duka dogo la dhaabu ni Sonara,dogo form 4 katoka na 1.7 .hakwenda advance kakaa na mzee wake dukani...
 
..mtoa mada angeuliza kwanini ndugu zetu wenye asili ya Uarabuni au India hatuishi nao Uswazi?

It is all about strategies. Mambo yao wameyanyoosha miaka mingi sana. Mtu mwenzangu na mimi, anatafuta pesa ili ajenge hekalu. Muhindi anatafuta oesa ili akanunue bonds Swiss banks. Au ajenge ghorofa Masaki au Mjini.
Anatumia hizo bonds kusomesha watoto wake prestigious schools. Sisi tunanunua Ma VX ili tusisumbuke barabara zenye vumbi.
Malengo yenye kisomi na malengo yenye kuona karibu no tofauti. Pengine wanaona kuliko kuishia uchochoroni wake mbali. Wawaachie wenyee wanaoweza
 
Mada hii ya kijinga kweli hata mtoto wa sekondari akisoma atashangaa watu wazima tunajadili hili, anyway.

Huwa mnasema Kuajiriwa utumwa,huwezi kutajirikia kwa Kuajiriwa..

Tuangalie list ya matajiri kumi Bora Tanzania,Kuna mmatumbi??wangapi??je wahindi na waarabu??..

Take home za laki nne chukueni nyinyi...nimesoma na muhindi anajua hisabati kupita maelezo,.masomo yote A+ Baba yake ana duka dogo la dhaabu ni Sonara,dogo form 4 katoka na 1.7 .hakwenda advance kakaa na mzee wake dukani...

Ni kweli mada ya kijinga. Ila kwani sisi tukoje? Tuna akili kiaisi gani na kwa kutumia reference gani?
 
Wakuu,

Hili suala limenitafakarisha. Nchi hii ina watu wengi wenye asili ya Asia , wengi Sana.

Ajabu ni nadra kukuta kiongozi serikalin ni wa jamii hizo. Je watu hawa hawana elimu au nin sababu mpaka hakuna waziri wala naibu waziri mwenye asili ya Asia,

Hakuna Katibu mkuu wala naibu Katibu mkuu,

Hakuna mkuu wa mkoa wala Mkuu wa Wilaya,, hakuna mkurugenzi wa halmashaur wala taasis yoyote.

Je watu hawa hawateulik? Wakina Kanjibahi wanaonekana kupata mafanikio binafsi hasa katika biashara.
Nenda Kwao PUNJABU uone kama Kuna hata balozi wa nyumba 10 toka Tz,
 
Nenda Kwao PUNJABU uone kama Kuna hata balozi wa nyumba 10 toka Tz,
Ushamba tu mwingi, kwanini sasa Mtanzania awe Na position India? Hapa mada inahusu WaTanzania wenye Asili ya India na sio wahindi wa India.

Anyway watu weusi Wenye Asili ya Africa India wanaitwa Siddi na wapo wengi Na wana Historia kubwa.

Mfano Shantram siddi.
images (45).jpeg
 
Back
Top Bottom