Nini kinazuia watu wenye asili za asia kupata nafasi serikalini?

Nini kinazuia watu wenye asili za asia kupata nafasi serikalini?

Ni hawataki kuja kufanya kazi na mijitu mijizi, mizembe na michafu
Walifanya kazi zamani na wale watanganyika waliostaarabika miaka ile baada ya ukoloni
Kwa sasa wao ni kufanya shughuli zao na kuwaajiri nyinyi mafwafwa ya siku hizi mpelekeshwe kama punda
Sio kweli

Mkoloni alikuwa akibagua watu wote Tanganyika

Mfano hata makazi na sehemu za biasjara kulikuwa na uzunguni ,uhindini na uswahilini

Hivyo wao pia walikuwa wahanga .Hivyo wakati wa kupigania uhuru wahindi pia walijiunga na harakati za kumtoa mkoloni
Alipoondoka wahindi walikubali kuwa sehemu ya serikali na si kuwa walitaka walikuwa na biashara zao na viwanda wakati huo wao.walikuwa ndio wasomi wengi.Wakakubali kusaidia nchi kwa muda ikae sawa kisha warudi nafasi zao

Ndio maana kipindi hicho hadi waziri wa afya Nyerere ilibidi amuombe Padre Daktari l Stirling mkatoliki mzungu ashike sababu katoliki wao walikuwa wazoefu kwenye mahospitali na Tanganyika haikuwa na wasomi wa fani ya afya wakubwa

Viwanda ,fedha akampa uwaziri muhindi mwenye biashara na Viwanda Amir Jamal

Kwenye serikali walikuweko wengi sana tu
Walikaa kwa muda wakarudi kwenye biashara zao.

Serikalini wengi hawaonekani kwa sababu hao watu weupe wahindi na waarabu biashara zao huendeshwa na familia nzima sio mtu mmoja .Kila mtu awe mtoto hupewa kitengo cha kuhudumia.Tofauti na sisi weusi unakuta mzazi ana biashara hata tano.mfano ana mashamba,ana malori,ana mabasi ana mashine za kusaga ana biashara ya maduka unakuta ni yeye tu anazurura kote kusimamia na watoto anao na mke au wake anao.Wenzetu tofauti.Na wanapenda hilo kuwa sehemu muhimu ya family business kuliko kuajiriwa Serikalini

Tofauti na waswahili baba unamkuta ana biashara mfano ya Hospital watoto wake wanaenda kusomea ubwana shamba waajiriwe Serikalini kama afisa kilimo

Sasa unakuta nafasi za ajira zinagombewa na watoto maskini na watoto wa wafanyabiashara wakubwa waswahili ambao kwa hali ya kawaida walitakiwa wabaki kwenye family business za wazazi wao .Ndio unakuta mzazi mswahili mfanyabiashara mkubwa akifa na biashara inakufa sababu hakuna mtoto yuko.tayari ku risk kuacha kazi yake ya ajira hata kama ina kipato kidogo aende kusimamia biashara asiyoijua kabisa sababu alikuwa hashirikishwi inakufa wakati ya wahindi na waarabu inaendelea tena kwa kasi kubwa
Mifano mtu.Kama ASAS baba yao alikufa siku nyingi mwanzilishi wa hiyo kampuni lakini ona watoto wanavyoipaisha kampuni

Ukija Azam mzee Bakheresa kazeeka sana watoto ndio wameshika kampuni inaenda vizuri mno

Uje kampuni ya Dewji Mzee Dewji alishataafu kuendesha kampuni sababu ya uzee kamwachia mwanawe Mo Dewji angalia Mo Dewji anavyoipaisha kampuni

Waswahili tungeiga wahindi na waarabu kwenye family business hakika tatizo la ajira Serikalini lisingekuwa kubwa kana sasa hivi watoto wa wafanyabiashara wangekuwa kwenye biashara za wazazi wao wakiziendesha na kuzipaisha ajira Serikalini zingebaki kwa watoto wa wengine wasiotoka familia za wafanyabiashara na pia ingesaidia biashara za waswahili kudumu na kupanuka kwa mawazo mapya ya kizazi kipya
 
Nyinyi ndio mbulula wenyewe na pamoja mwingine amekukwoti na kumtaja Salim Ahmed Salim
Huyo wa NECTA anaugabachori gani?
Ni kwa vile kama ulivyojieleza ni wewe ni mlugaluga umetokea maporini huko na kuja mjini na kushangaa
Wanaokaa mijini iwe Dar, Mwanza au Arusha na Moshi wanauwezo kusema kumtaja mtu ni gabachori sababu wageni wa kuja wanajuklikana,
Sisi tumesoma nao, tumecheza nao hivyo tunajua kuwatofautisha sio nyinyi wa maporini, kila ukiona mtu ana rangi nyeupe ni gabachori
Huyo Bhiku namjua sana mpaka kwake Upanga mtaa wa Mindu tokea nasoma primary
Wewe ngeke mkubwa huyu ni ngozi nyeusi!?
 

Attachments

  • Dkt.-Said-Ally-Mohamed-768x432.jpg
    Dkt.-Said-Ally-Mohamed-768x432.jpg
    34.3 KB · Views: 2
Wakuu,

Hili suala limenitafakarisha. Nchi hii ina watu wengi wenye asili ya Asia , wengi Sana.

Ajabu ni nadra kukuta kiongozi serikalin ni wa jamii hizo. Je watu hawa hawana elimu au nin sababu mpaka hakuna waziri wala naibu waziri mwenye asili ya Asia,

Hakuna Katibu mkuu wala naibu Katibu mkuu,

Hakuna mkuu wa mkoa wala Mkuu wa Wilaya,, hakuna mkurugenzi wa halmashaur wala taasis yoyote.

Je watu hawa hawateulik? Wakina Kanjibahi wanaonekana kupata mafanikio binafsi hasa katika biashara.
Ubaguzi labda !
 
Wakuu,

Hili suala limenitafakarisha. Nchi hii ina watu wengi wenye asili ya Asia , wengi Sana.

Ajabu ni nadra kukuta kiongozi serikalin ni wa jamii hizo. Je watu hawa hawana elimu au nin sababu mpaka hakuna waziri wala naibu waziri mwenye asili ya Asia,

Hakuna Katibu mkuu wala naibu Katibu mkuu,

Hakuna mkuu wa mkoa wala Mkuu wa Wilaya,, hakuna mkurugenzi wa halmashaur wala taasis yoyote.

Je watu hawa hawateulik? Wakina Kanjibahi wanaonekana kupata mafanikio binafsi hasa katika biashara.
hawataki.
 
Wakuu,

Hili suala limenitafakarisha. Nchi hii ina watu wengi wenye asili ya Asia , wengi Sana.

Ajabu ni nadra kukuta kiongozi serikalin ni wa jamii hizo. Je watu hawa hawana elimu au nin sababu mpaka hakuna waziri wala naibu waziri mwenye asili ya Asia,

Hakuna Katibu mkuu wala naibu Katibu mkuu,

Hakuna mkuu wa mkoa wala Mkuu wa Wilaya,, hakuna mkurugenzi wa halmashaur wala taasis yoyote.

Je watu hawa hawateulik? Wakina Kanjibahi wanaonekana kupata mafanikio binafsi hasa katika biashara.
Hata maofisi tu siwaoni achilia mbali nafasi za uongozi...naonaga tunasoma nao mwisho o level pale wanapotea siwaoni tena mavyuoni
Wakati ninyi mkigombania ajira, wenzenu wamechagua kutengeneza ajira.
Sehemu pekee mtakapikutana nao hao ni sehemu za fursa kama vile siasa, yaani ubunge, uwaziri, kufundisha vyuoni (hasa sheria, tiba na finance), na nafasi nyingine za kiupendeleo na zenye fursa.
 
Wapo kwa uchache maana hawana ubavu wa majungu na mizengwe. Ifahamike wanaweza kuajirika kwenye makampuni ya waasia wenzao kwa mishahara minono, na upendeleo kwa rangi zao.
 
Tanganyika ni nchi ya watu weusi,kama wanataka vyeo serikalini waende huko kwa waliko toka,utukishi wa umma ni wawatanganyika halisi watu weusi.
 
Wahindi na waarabu huwa wanatazama kazi zenye potential

Mimi nilisoma na wahindi wengi walikuwa wanaishia form four tu na kuangalia fursa za Biashara.
 
Hawa watu mara nyingi wana maeneo mijini hasa sehemu zenye potential ya kibiashara na wamerithi kutoka kwa mababu zao walio tukoloni

Awa sijui ndo waarabu siwaelewagi Mimi naona wanaishi kama wakimbizi tuliowapa hifazi ya kidumu
wacha chuki na roho mbaya isiyoleta maendeleo. Wewe mwenyewe asili yako ni Cameroon huko kwa hivyo nawe una status ya ukimbizi.
 
Km hivi tu wamepewa uraia wanafanya ugaidi na kuwaingiza ndugu zao kinyemela kwa maelfu vip wakishka nafas kubwq
 
Mimi nilisoma na wahindi wengi walikuwa wanaishia form four tu na kuangalia fursa za Biashara.
Hilo kundi la kwanza
Kundi la pili linaloongoza Tanzania kwa kupata scholarship nje nyingi ulaya ,marekani na Canada ni wahindi wenye uraia na passport za Tanzania

Wanachofanya wakimaliza form four au six huenda British Council Dar na kufanya mitihani ya kimataifa ya kiingereza kwa wageni ambayo ukifaulu ndio huwa sharti muhimu la kupata scholarship. Wengi hufaulu na kupata scholarship nje na kwenda kusoma vyuo vya nje ya nchi na kubaki hukohuko au kurudi kuja kuendesha biashara za familia

Kundi lingine wakimaliza form four na form six hutimkia India kwenda kusoma mambo ya biashara na viwanda ,na teknolojia na wakimaliza hurudi nchini kwenye family business zao au kwenda kuajiriwa na makampuni makubwa ya kimataifa yakiyoko India au nje ya India wakifaulu vizuri sana
 
Back
Top Bottom