Nini kinazuia watu wenye asili za asia kupata nafasi serikalini?

Nini kinazuia watu wenye asili za asia kupata nafasi serikalini?

Wakuu,

Hili suala limenitafakarisha. Nchi hii ina watu wengi wenye asili ya Asia , wengi Sana.

Ajabu ni nadra kukuta kiongozi serikalin ni wa jamii hizo. Je watu hawa hawana elimu au nin sababu mpaka hakuna waziri wala naibu waziri mwenye asili ya Asia,

Hakuna Katibu mkuu wala naibu Katibu mkuu,

Hakuna mkuu wa mkoa wala Mkuu wa Wilaya,, hakuna mkurugenzi wa halmashaur wala taasis yoyote.

Je watu hawa hawateulik? Wakina Kanjibahi wanaonekana kupata mafanikio binafsi hasa katika biashara.
Simba mwenda pole iko gonjwa, usipo ziba ufa mwiji chungulia Dani, mtaka cha uvunguni iko inua Matanda,, simba guvu moya, wakitamka vizuri tu tunawapa ukatibu Mkuu mwezi ujao baada ya vetting,

Am a tanzanian indian origin

Kwakifupi hawawezi kupewa wana uraia zaidi ya mmoja unaweza shangaa kumbe ni mmarekani pia, tuishie hapo tunaweza kuchafua hali ya hewa mke wangu anapenda sana kusuka rasta mimi sipendi, tena anapenda sana kusafiri na wifi zake
 
Huyo Tulia ni wenge la kukutana na wazungu wengi kwa wakati mmoja, alikuwa na kitete cha kujihami sababu alishindwa kujitetea.

Turudi, huku
Machangudoa wa kihindi walikuwepo sana miaka ile, ila kwenye mahoteli makubwa kama Kilimanjaro na Aficana na New Africa
Hata sasa wapo lakini ni wa bei ya juu, nenda tovuti ExoticTanzania utawakuta tu, lakini malipo ni dolari
Sasa mada ilikuwa inaenda vizuri tu tena nlikuwa nachangia kwa jazba na mihemko .ila ulipowasema vibaya machangudoa umenikwaza sana ,naomba nitoe rai kwako acha kuwaongelea machangudoa au hatua kali dhidi yako zikianza na onyo kisha karipio kali ,wakome shenzi we(naongea huku mate yanaruka na natetemeka)

Wako mtiifu,
Wakili wa machangudoa
 
Hawa wana waza biashara tuu mambo ya rushwa za serikalini sio kipaumbele chao.
Walijaribu Rostam, Mo,Manji na marehemu Gulamali mwishowe wakawaachia watalamu wa kuishi kwa ufisadi..
Ingawa nyakati nyingine wanatumiwa kufanikisha wizi kama kwenye EPA
Wizi wa fedha za Uma kubwa kubwa hupitishiwa kwao. Kwa nini wahangaike wakati wajinga wenye madaraka watawaletea na kuwalinda?
 
Wakati Fulani kulikuwa na mass exodus ya vijana wa Kihindi kwenda Ulaya, mostly UK.
Hii ikaleta hasira sana, vijana wamekuwa trained na Serikali halafu wamekimbia.
Halafu baadaye Wahindi wakawa wanalalamika kwamba hawashirikishwi katika Serikali.
Mwalimu ( Nyerere) akalifikiria jambo hili kidogo, halafu akawapa vyeo hapa na pale.
Ndio wakati ule Alnoor Kassam akachaguliwa kuwa Waziri.
Lakini mpango huu wa kuwashirikisha Wahindi sijui ulikwisha vipi.
 
Hawa watu mara nyingi wana maeneo mijini hasa sehemu zenye potential ya kibiashara na wamerithi kutoka kwa mababu zao walio tukoloni

Awa sijui ndo waarabu siwaelewagi Mimi naona wanaishi kama wakimbizi tuliowapa hifazi ya kidumu

Waarabu wana akili ya biashara, na wanajua kumkirimu mteja, pia hawanaga time ya kuvaa masuti na moka, kazi kazi mzee baba.

Wachina na wahindi pia wanajua biashara, wakati wewe na baadhi ya wenzio wenye chuki, wivu na uvivu wa kufanya kazi ama biashara, hapo wenzio wamefika mbali kimafanikio.
 
Wakuu,

Hili suala limenitafakarisha. Nchi hii ina watu wengi wenye asili ya Asia , wengi Sana.

Ajabu ni nadra kukuta kiongozi serikalin ni wa jamii hizo. Je watu hawa hawana elimu au nin sababu mpaka hakuna waziri wala naibu waziri mwenye asili ya Asia,

Hakuna Katibu mkuu wala naibu Katibu mkuu,

Hakuna mkuu wa mkoa wala Mkuu wa Wilaya,, hakuna mkurugenzi wa halmashaur wala taasis yoyote.

Je watu hawa hawateulik? Wakina Kanjibahi wanaonekana kupata mafanikio binafsi hasa katika biashara.
Nini kinawazuia watu wenye damu asili ya kiafrika waishio Afrika kubuni na kuendeleza teknolojia zao ?
 
Umemsoma mleta mada vizuri!??
Je ubunge sio sehemu ya serikali!?
Tena serikali kuu kabisa.
Alichosema mleta mada kwanini hatuwaoni hao shombe shombe serikalini na ofisi zingine!?
Embu soma kwa uelewa basi.
Wewe nenda kabishane kuhusu vita vya Israel na Hamas, mambo ya mihimili ya Dola yamekupita kushoto.
 
Wakuu,

Hili suala limenitafakarisha. Nchi hii ina watu wengi wenye asili ya Asia , wengi Sana.

Ajabu ni nadra kukuta kiongozi serikalin ni wa jamii hizo. Je watu hawa hawana elimu au nin sababu mpaka hakuna waziri wala naibu waziri mwenye asili ya Asia,

Hakuna Katibu mkuu wala naibu Katibu mkuu,

Hakuna mkuu wa mkoa wala Mkuu wa Wilaya,, hakuna mkurugenzi wa halmashaur wala taasis yoyote.

Je watu hawa hawateulik? Wakina Kanjibahi wanaonekana kupata mafanikio binafsi hasa katika biashara.
Unless kama wewe ni wa 2000. Lakini wengi walikuwepo na wapo mpaka sasa ingawa sio wengi. Wapo waliosjina nafasi za kisiasa kama Rostam Aziz, Abood, Shabiby, Pirmohamed Mullah wa Mbeya nk.
 
Huyo Tulia ni wenge la kukutana na wazungu wengi kwa wakati mmoja, alikuwa na kitete cha kujihami sababu alishindwa kujitetea.

Turudi, huku
Machangudoa wa kihindi walikuwepo sana miaka ile, ila kwenye mahoteli makubwa kama Kilimanjaro na Aficana na New Africa
Hata sasa wapo lakini ni wa bei ya juu, nenda tovuti ExoticTanzania utawakuta tu, lakini malipo ni dolari
Sasa mada ilikuwa inaenda vizuri tu tena nlikuwa nachangia kwa jazba na mihemko .ila ulipowasema vibaya machangudoa umenikwaza sana ,naomba nitoe rai kwako acha kuwaomgelea machangudoa au hatua kali dhidi yako zikianza na karipio likiambatana na onyo kali ,wakome shenzi
 
1. - UBAGUZI, wabongo wengi watu ni wabaguzi, kwahiyo Jamaa huwa wana experience ubaguzi sehemu nyingi sana wanazojichanganya. Mfano mdogo pitia comment za wadau humu utagundua.

2. Jamaa wana vision za mbali sana, kwahiyo sio rahaisi kuwakuta wanapigana vikumbo kwenye ishu za kinjaa njaa wao mipango yao ni ishu za uhakika tu.
 
Back
Top Bottom